Ronaldo Luis Nazario de LimaKufuatia Dunia ya soka kukumbwa na uhaba wa Washambuliaji mahiri katika soka, Kuna mastraika wachache sana ambao wanaendelea na ubora wao wa kutupia nyavuni.
Je kwasasa unamkubali straika yupi?
over rated... he needs time athibitishe ubora wake, though the guy is very talentedKane
Una matatizo sio bureRonaldo Luis Nazario de Lima
Zamoyoni MogellaRonaldo Luis Nazario de Lima
Unamjua au una comment tu kufurahisha genge Jf?Una matatizo sio bure
Unazi huu.Firminho
Nani anaongoza kwa magoli epl?Nani aliyeongoza kwa magoli misimu miwili iliyopita epl?over rated... he needs time athibitishe ubora wake, though the guy is very talented
Mkuu naheshimu maoni yako ila Morata bado hajafikia matazamio ya wengi.Morata
Nauunga mkono hojaKane
tuko pamojaLewandowsk
huyo alishastafu! Tunataka anayecheza sasaRonaldo Luis Nazario de Lima