Ndugu zangu wana jukwaa,ni matumaini yangu kuwa ni wazima na mnaendelea vyema na mapumziko ya mwishoni mwa wiki.
Ndugu zangu mimi ni mwalimu katika moja ya wilaya katika mkoa wa Rukwa.
Siku ya Mei mosi 2016, tulisikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais Magufuli hasa aliposema vyama vya wafanyakazi...
ushauri Mzuri Sana, kweli nimeamini rais Wangu wamoyoni DR Slaa anaona mbali, viongozi Wangu fuateni ushauri wa mwanakijiji, tumalize holi tuendelee na kumnadi lowasa
Ni kweli kabisa cdm iko katika moyo wa kila mtanzania anayetaka mabadiliko ya kweli ya kuondakana na mafisadi sisiem,nikiwa kwenye maombi jana ,nimeoteshwa kuwa cdm ipo kwenye pepeto kuu,Mungu anapepeta magugu na ngano,lazima ngano safi ibaki
Mi ni mwalimu sekondari manispaa ya kigoma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mbeya,morogoro,pwani,iringa, dodoma,kwa aliyetayari naomba ni pm
Si kwamba kila mwalimu alifeli,kuna walimu wenye 1,2,wenye 3 kama hao wa kwenye afya na kilimo,kuna walimu wamemaliza vyou vikuu tena vya serikali na GPA NZURI nawaomba tusiwapuuze walimu,hivi mtu anayesomea unesi ana ufaulu gani si d ya biology
ccm chama changu kama mtaendelea kumtumia mwigulu kama mnanyomtumia sasa basi mjue inchi tunaipeleka pabaya,mwigulu ni audui wa amani na utulivu wa nchi yetu waccm wote popote tulipo tumkatae,vyama vyote vina haki na kuwa vyombo vya ukakamavu
Pole sana mama , mungu yupo nawe.ukiona shida zinazidi ujue neema inakuja,ukombozi wa nchi yetu u karibu mno,baada ya haya magum wanayopitia viongozi wa cdm.mume wako na wangine ndio wataitwa mashujaa wa taifa, pole kwa kipindi hiki kigumu
Jamani mi mwenyewe ni mwalimu sekondari huku kigoma manispaa natafuta mtu wa kubadirishana naye wa mikoa kama dodoma,iringa ,mbeya,morogoro na pwani,kwa yoyote aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0768860808
viva cdm endelea kuchanya mbuga,wananchi wamechoka na wahujuma nchi yetu,kila mahali hali mbaya si vijijini wala mjini, elimu ya nchi yetu hali mbaya,huduma za maji ,umeme,afya ,miundo mbinu n.k kote hali mbaya,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.