Recent content by mwasileol

  1. mwasileol

    Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

    Sokoni Kariakoo Karibu Na Duka La Sunderland, Kuna Maduka Ya Dawa Za Kisunah
  2. mwasileol

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu niangalizs bei hii Atic Fit 2018/2017 iPad 9.7 6th/5th Generation - Premium Soft Skin Flexible Bumper Transparent TPU Rubber Back Cover Protector Fit Apple iPad 9.7 Inch 2018/2017, Crystal Clear
  3. mwasileol

    Watatu wafariki katika ajali ya basi la mwendokasi na Pikipiki. Watu 20 mbaroni kwa kuharibu basi la Mwendokasi

    Tatizo hapo kwenye Zebra wakati unavuka unapadawa ushuke kwenye chombo na uanze kukokota na sio ukiendeshe. Inaonekana chombo kilikua kinaendeshwa na abiria wakiwa wamepanda kabisa, ndio kukutana na hilo balaa.
  4. mwasileol

    Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

    [emoji23][emoji23][emoji23] ili uwekwe kundi la Kina Sir Elton John eeeh?
  5. mwasileol

    Nape na Zitto! Makinikeni, msonobari hauchorongwi

    Tehe! Tehe! Tehe! nimecheka hapo uliposema akiacha mambo ya “KISHIRIKINA”
  6. mwasileol

    Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Ficha Deck Na King’amuzi Mwachie TV Tu Awe Anaangalia Zile Chenga Ukiwasha Kama Hauna Antena.
  7. mwasileol

    Mume kavunja simu ya mkewe na kumwachisha kazi kisa mimi

    Jiachanganye Kwenye Anga Zangu "Kiboga" Kiwe Halali Ya Watoto Wa Ilala
  8. mwasileol

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Nishawahi Kuwa Na Manzi Wa Hivi, Yaani Kila Nikitaka Kupiga Nae Story Nanunua PK Mbili Najifanya Na Share Nae Kwa Upendo Kumbe Naepuka Harufu, Mdomo Kama Kafa Paka, Halafu Yeye Hajijui Kama Yaani
Back
Top Bottom