Watatu wafariki katika ajali ya basi la mwendokasi na Pikipiki. Watu 20 mbaroni kwa kuharibu basi la Mwendokasi

Chombo cha moto hakiruhusiwi kuvuka zebra kama afanyavyo watembea miguu
Si kuna njia zakupita jamani kwanini wanakatiza hivyo itakuwa aliingia ghafla sizani kama bus lingekuwa mbali naye kuvuka na kama lipo karibu kwanini asisubili lipite!
 
Yeye alipita akiwa anaendesha badala ya kukokota, dereva wa mwendokasi kaona kwenye zebra peupe kanyoosha mara paaap boda ikatoka huko speed inataka kuwahi kupita ndio akapitiwa,
Afadhali kaokoa alikuwa kawabeba ndani
 
Acha tu mkuu wanapenya penya sana yani...! Alafu huwa wanafanya makadirio sio kabisa... Huyo nadhani alipiga hesabu mbaya labda aliona mwendokasi ipo mbali alijua ataiwahi... Hao wadada wa watu jamani khaa ukute walikuwa wanaenda kwenye shughuli labda..Mungu awapumzishe kwa amani na dereva...
Amina, wapumzike kwa amani na itakuwa walikuwa wana wahi kwenye shughuli
 
Ndio kwa sababu kwenye zebra mvukaji anatakiwa avuke kwa tahadhari pia, yeye kapita akiendesha, kumbuka unaweza ona kwenye zebra hakuna mtu anataka kuvuka mara ghafla unaona boda hii hapa maana akiwa anaendesha anakua kwenye kasi,
Kuna mmoja alinusurika kugongwa pale tiptop na gari ya serikali yeye katoka upande wa kulia ukiwa unaenda kkoo huku anaendesha kavuka kwa kasi sana upande aliotokea na upande pili hivyohivyo, sema yule dereva wa STK alikanyaga brek kidogo akapita. Na ndio maana wakaweka vibao kabisa usivuke na boda, bajaji au baiskeli unaendesha ni kosa kisheria

Jamaa yangu gari lilivyobonyea mbele na jamaa walivyorushwa na kuburuzwa inaonyesha kabisa mwendo kasi ilikuwa speed hivyo haikusimama kwenye zebra crossing nina uhakika pia kama kungekuwa na waenda kwa miguu wangegongwa pia, ukiangalia picha za ajali utaona iliposimama basi nyuma yake kuna zebra.. Aina ya impact Ile inaelezea speed ya gari sio bodaboda kumbuka bodaboda ilikuwa inacross, na kama gari ilikuwa speed inamaana haikusimama kwenye zebra.
Kila siku tunaambiwa kuna mtu au hakuna unatakiwa kusimama kwenye zebra..

Upumbavu wa bodaboda wa kupakia mshikaki na kuvuka akiwa anaendesha na amepakia abiria usitumike kuharalisha upumbavu wa dereva wa bodaboda kutoendesha kwa tahadhari kwenye zebra crossing.
 
Aliekwambia Mwendokasi kila zebra inabidi isimame nani???? Sasa si zingekuwa zinachukua masaa kisa kusimama simama kwenye zebra... gari inasimama kama Watu wanavukaaa kwenye Zebra... Hakuna utaratibu wa kusimama kama hakuna Mtu wala mnyama anaevukaaa HAUPOOO.. labda kama unaona watu wanataka kuvuka ndo unasubiri wavuke lakini eti upo Motooo na hakuna mtu anasubiri kuvuka wala anaevuka zebra usimame...??? No way...
Jamaa yangu gari lilivyobonyea mbele na jamaa walivyorushwa na kuburuzwa inaonyesha kabisa mwendo kasi ilikuwa speed hivyo haikusimama kwenye zebra crossing nina uhakika pia kama kungekuwa na waenda kwa miguu wangegongwa pia, ukiangalia picha za ajali utaona iliposimama basi nyuma yake kuna zebra.. Aina ya impact Ile inaelezea speed ya gari sio bodaboda kumbuka bodaboda ilikuwa inacross, na kama gari ilikuwa speed inamaana haikusimama kwenye zebra.
Kila siku tunaambiwa kuna mtu au hakuna unatakiwa kusimama kwenye zebra..

Upumbavu wa bodaboda wa kupakia mshikaki na kuvuka akiwa anaendesha na amepakia abiria usitumike kuharalisha upumbavu wa dereva wa bodaboda kutoendesha kwa tahadhari kwenye zebra crossing.

Believe me or not ikifunguliwa kesi bima watalipa hela nyingi sana ndugu wa bodaboda kama tu proper investigation itafanyika..
 
Jamaa yangu gari lilivyobonyea mbele na jamaa walivyorushwa na kuburuzwa inaonyesha kabisa mwendo kasi ilikuwa speed hivyo haikusimama kwenye zebra crossing nina uhakika pia kama kungekuwa na waenda kwa miguu wangegongwa pia, ukiangalia picha za ajali utaona iliposimama basi nyuma yake kuna zebra.. Aina ya impact Ile inaelezea speed ya gari sio bodaboda kumbuka bodaboda ilikuwa inacross, na kama gari ilikuwa speed inamaana haikusimama kwenye zebra.
Kila siku tunaambiwa kuna mtu au hakuna unatakiwa kusimama kwenye zebra..

Upumbavu wa bodaboda wa kupakia mshikaki na kuvuka akiwa anaendesha na amepakia abiria usitumike kuharalisha upumbavu wa dereva wa bodaboda kutoendesha kwa tahadhari kwenye zebra crossing.
Ndugu hawatolipwa na bima sababu
1. Inawezekana boda boda hana license
2. Bodaboda haina bima
3. Boda boda hairuhusiwi kubeba mahikaki
4. Bodaboda kama chombo cha moto hakitakiwi kuhama upande kwa kutumia zebra crossing
 
Tunatetea ujinga
BRT lane zimejengwa kwa magari husika tu...tatizo la Watanzania ni ubishi na ujuaji mwingi..
 
Je kama aligongewa kwenye zebra bado bodaboda atakuwa na makosa...isije ikawa tunamhukumu bodaboda kwa sababu ni taahira kumbe yeye ndiye mwenye haki maana kwenye barabara ya mwendo kasi kuna zebra pia..
Zebra ni kivuko cha waenda kwa miguu sio bodaboda ndugu,bodaboda ni chombo cha moto njia yake ni kama ya magari mengine hatakiwi kupita zebra na pikipiki yake...ni sawa na kusema apite na pikipiki lake juu ya daraja la waenda kwa miguu. Tuheshimu sheria bila kusimamiwa.
 
Mkuu waliwekewa utaratibu wa kuvuka kwa sharti la kukokota pikipiki zao na kushusha abiria na wale waliovuka kwa kuendesha walikamatwa.. Kosa lake huyu ni kubeba mshikaki lakini dereva wa mwendo kasi naye anakosa la kujibu kwa kuendesha gari kwenye zebra crossing bila tahadhari..
 
Mi kwangu ni kua madereva wote wana makosa,
Jamaa yangu gari lilivyobonyea mbele na jamaa walivyorushwa na kuburuzwa inaonyesha kabisa mwendo kasi ilikuwa speed hivyo haikusimama kwenye zebra crossing nina uhakika pia kama kungekuwa na waenda kwa miguu wangegongwa pia, ukiangalia picha za ajali utaona iliposimama basi nyuma yake kuna zebra.. Aina ya impact Ile inaelezea speed ya gari sio bodaboda kumbuka bodaboda ilikuwa inacross, na kama gari ilikuwa speed inamaana haikusimama kwenye zebra.
Kila siku tunaambiwa kuna mtu au hakuna unatakiwa kusimama kwenye zebra..

Upumbavu wa bodaboda wa kupakia mshikaki na kuvuka akiwa anaendesha na amepakia abiria usitumike kuharalisha upumbavu wa dereva wa bodaboda kutoendesha kwa tahadhari kwenye zebra crossing.
 
Japo sijui kilichotokea, ila kiukweli Bodaboda ndo wanaoongoza kwa kuvunja sheria hapa mjini, Mi kuna mmoja alikua anataka kuniwahi sijui ili afanyaje wakati tayari m chombo ya diesel imeshapamba moto unaanzaje kushindana nayo? wala sikutaka kumkwepesha alivyojaa Yani Mwanga wa milele ulimwangazia pale pale. Na mwingine pale mataa anabahati tu tena anabahati sana
 
Wakuu kama kuna mtu humu aliwahi kuendesha pikipiki Dar na akafuata sheria zote mf, kusubiri foleni kama gari, kutopita pembeni ya barabara kwenye foleni, kusimama mataa hadi upande wake uruhusu, kusimama zebra na mengine...

Watu huwa wanapanda boda ili wafike haraka, na ili ufike haraka means hzo rules hapo juu lazima uzivunje
SO: Hiyo ni ajali kazini japo zebra za mwendokasi wanataka uvuke ukiwa umeshuka so I hope huyo bodaboda alikaidi hilo swala.
Pole kwa waliofiwa ila bodaboda wengi hawapo makini, nahisi hawana mafunzo wala leseni wengine
 
Je kama aligongewa kwenye zebra bado bodaboda atakuwa na makosa...isije ikawa tunamhukumu bodaboda kwa sababu ni taahira kumbe yeye ndiye mwenye haki maana kwenye barabara ya mwendo kasi kuna zebra pia..
Kwenye zebra haivuki bodaboda mzee, kwa hiyo amevunja sheria kwa kutumia zebra na bodaboda yske
 
Je kama aligongewa kwenye zebra bado bodaboda atakuwa na makosa...isije ikawa tunamhukumu bodaboda kwa sababu ni taahira kumbe yeye ndiye mwenye haki maana kwenye barabara ya mwendo kasi kuna zebra pia..

Tatizo hapo kwenye Zebra wakati unavuka unapadawa ushuke kwenye chombo na uanze kukokota na sio ukiendeshe. Inaonekana chombo kilikua kinaendeshwa na abiria wakiwa wamepanda kabisa, ndio kukutana na hilo balaa.
 
Back
Top Bottom