Recent content by mwashambee

  1. mwashambee

    JamiiForums Tanzania TANESCO yapandisha malipo ya umeme kwa watumiaji wadogo

    Inashangaza kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Hatari ila baadaye itakuwa salama Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
  3. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Msaada, KITAMBI changu kimegoma kutoka licha ya mazoezi makali.

    Juice ya ndimu kila mara kunywa maji ya moto kila cku asubuhi,na ule mchana tu,jion matunda au chai na mkate
  4. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Hapo atastaafu tu mwenyewe,hiyo ni mipango,ukiambiwa kula kitu kwa mdomo mmoja huo mwingine ucjue unachokula ndo hii!hongera Mugabe umeshinda
  5. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

    Mbona kawaida sanaa tuuu
  6. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Pamoja sana mkuu
  7. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Siasa ni siasa sasa hivi ukiongea kitu chochote unaambiwa ni siasa je tunaenda wap? Kwan kwa miaka hii kila mtu anajiona ni bora kiliko mwenzie Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  8. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    ni vzr kutii
  9. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anyimwa dhamana, kufikishwa mahakamani Kesho

    kesho atakuwa mjengoni
  10. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anyimwa dhamana, kufikishwa mahakamani Kesho

    kaachiwa bhana
  11. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga Daraja jipya Mto Wami

    ni habari njema
  12. mwashambee

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga Daraja jipya Mto Wami

    safi sana kama ni wazo ni jema na kama ni mipango tunazidi kuiombea serikali yetu ili iweze kutimiza kwa wakati
  13. mwashambee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ishitakiwe na jeshi la polisi kwa usumbufu

    Wao Jeshi walisema wapo kwenye mazoezi na wakawaambia Wananchi wasiwe na hofu waendelee na shughuli zao kama kawaida ,hapo huwezi kuwadai Chadema au kuwafungulia mastaka
  14. mwashambee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Silali usiku: Mke wangu ana 'gubu'

    dawa yake ni kuwa kimyaa tu hamna jinsi kwan hata ukipiga kuna wengine inakuwa kama unaingiza gia,kuna jamaa naye alishatoa uzi kama huu yy alisema kapiga kachoka,kilichofatia ni kuwa kimyaa na akilala anastuka kutoka usingizin na bado anamkuta anaongea
  15. mwashambee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Silali usiku: Mke wangu ana 'gubu'

    mbona kama hii mada imekunogea sana kuliko mtoa mada?
Back
Top Bottom