Recent content by MwanzoMwisho

  1. M

    Nahitaji majogoo kwa ajili ya mbegu. White leghorn

    Wadau bado kuku aina ya WHITE LEGHORN kwangu ni kitendawili
  2. M

    Nahitaji majogoo kwa ajili ya mbegu. White leghorn

    Mwenye majogoo ama taarifa yoyote ntakapoweza pata majogoo aina ya white leghorn tujulishane tafadhali.
  3. M

    Natumia vp patch ya tally 7.2

    wakuu msaada wenu nimedownload tally v7.2 na patch yake bt nmeshndwa kujua jinsi ya kuapply patch hhvyo kila niki-open inanidai id na pasword. Help please
  4. M

    Jamani hii CAMOLIST.COM mbona imekua kero?

    Msaada wenu tafadhali kila napofungua website ya FACEBOOK inajifungua Camolist.com. Nifanye nn wadau nashindwa access FB.:help:
  5. M

    Solution wadau

    Wakuu kuna website inajitokeza kila napotaka kufungua Facebook na yenyewe kuingilia kati na kujifungua Naombeni msaada wenu plz kwani nakereka sana. mtandao wnyw unaojitokeza ni CAMOLIST.COM
  6. M

    Wakuu msaada wenu plz

    Thanx a lot mkuu! Chief M
  7. M

    Wakuu msaada wenu plz

    Wakuu nashindwa browse youtube kabsaa nadhani ISP kaibania naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo ili niweze browse vitu mbalimbali katika hii website.
  8. M

    Nimekwama msaada wenu please

    Nikiiunga kwenye pc haiwi detected mkuu. hivyo siioni kwny my computer. Ingekua inaonekana ningejaribu kutumia software za ku recover files. Hvyo msaada zaid wakuu
  9. M

    Nimekwama msaada wenu please

    Nina external hard disk ya 160Gb sata ambayo nimeifungua kwny case yake ina ka-port kadogo ka usb ndogo, imeshindwa kurespond na data zangu za muhimu sana ziko ndani. Nini cha kufanya maana hata kuiconnect kwenye pc haiwi detected. Msaada wenu please niweze okoa data zangu za muhimu.
  10. M

    Msaada wakuu plz jahazi linazama

    Hata option ya kurestore imegoma mdau
  11. M

    Msaada wakuu plz jahazi linazama

    Ngoja nijaribu mkuu thn ntakupa fdback, Jina kamili unamaanisha nn mkuu na natakiwa nilipe .exe or?
  12. M

    Msaada wakuu plz jahazi linazama

    Hakuna means nyingine zaidi ya kurepair mkuu
  13. M

    Msaada wakuu plz jahazi linazama

    Wadau laptop yangu yenye windows xp imeshambuliwa kila nikijaribu fanya chochote hata kwny control pannel sms hii inajitokeza mbali na kufanya jitihada mbalimbali but nmekwama, 'Windows cannot find "C:\WINDOWS\system32\rundll32.exe' Nimejaribu options km - scf/scannow + xp cd - Nimerun...
  14. M

    Kama hupati Jamiiforums and mitandao mingine ya kijamii kama youtube soma hapa

    Mimi naona kwangu ISP wetu kabana youtube nipeni maujanja plz
  15. M

    Nimekwama wakuu msaada wenu plz

    Nimekupata mdau kwa msaada na ushauri wako mimi nataka badili setting zilizokuwepo maana nkiiunga kwny modem cpati internet inatoa msg ya kwamba failed to communicate with dns. nlipochek na isp wetu akanambia nbadili dns adreses ss cko cjawah fanya setting yeyote ktk router ngoja nptie hz link...
Back
Top Bottom