Nimekwama msaada wenu please

MwanzoMwisho

Member
Aug 11, 2009
34
0
Nina external hard disk ya 160Gb sata ambayo nimeifungua kwny case yake ina ka-port kadogo ka usb ndogo, imeshindwa kurespond na data zangu za muhimu sana ziko ndani. Nini cha kufanya maana hata kuiconnect kwenye pc haiwi detected. Msaada wenu please niweze okoa data zangu za muhimu.
 
Tafuta data recovery software (google) ujaribu kufanya recovery, kuna software kama fast file recovery ni nzuri pia
 
jaribu kubadilisha USB cable unayotumia...najua kuna baadhi ya external zinataka cable ndefu zingine fupi zingine zinataka zile cable zinazoingiza USB mbili kwenye PC (more power)...vinginevyo jaribu kubadilisha CASE
 
Back
Top Bottom