Recent content by Mwanzo

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM Tabora kuingia Igunga ikiwa na majeruhi kibao!

    Katika dalili zote zinazoonekana kuwa CCM ina hali mbaya kwa uchaguzi mdogo wa Igunga tayari ina makosa mengi ambayo viongozi wa ccm mkoa na taifa watalazimika kujipanga vizuri na makosa hayo ni kama yafuatayo 1. alipojiuzuru Rostam baadhi ya wana ccm walilia kwa uchungu na wengine kuzimia hapa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KASHFA: Mbunge atetea TAKURURU baada ya kufutwa kesi yake ya ufisadi

    sina hakika wote mnao changia mmemsikiliza vizuri au mnachangia mawazo ya wachangiaji hapa jamvini? Munde ameitaka serikali kwanza iwataje wahusika wote wa Rada na pili iwashitaki kuliko kuendelea na hoja za magazetini kila kukicha yaani kaiambia serikali yake ifanye hayo, hoja ambazo baadae...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rage ajivua nguo tabora

    kosa lake kubwa ni kutoitisha vikao vya kamati ya utendaji na mkutano mkuu, kumsimamisha katibu wa tarefa mkoa kinyume cha katiba lakini kama unafuatilia habari za michezo alitangaza mwenyewe kujiuzuru kwenye vyombo vya habari yeye na kamati yake yote ya utendaji cha ajabu leo amekana tena kujiuzuru
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rage ajivua nguo tabora

    katika kile kinachoweza kujulikana kama ni kuzidiwa na madaraka, mbunge wa jimbo la tabora mjini Alhaj Aden Ismail Rage leo ameumbuka katika kikao maalumu cha chama cha mpira wa miguu mkoa wa tabora TAREFA baada ya siku chache zilizopita kutangaza kujiuzuru na leo kugoma kuwa maamuzi hayo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Freeman Mbowe latumika kumsafisha LOWASSA

    you are all behind the scine! mbona Kubenea wa Mwana halisi,semtawa wa mwananchi wapo kwenye pay roll ya mengi na Membe na wote hao kila siku waandikapo taarifa zao juu ya ama kuwachafua wengine au kuwasifia Membe na Mengi hakuna anayeulizia hilo au ndo ule msemo wa kiswahili kuwa kunya anche...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sarah Msafiri.

    rekebisha kidogo post sisi tunaowajua sarah Msafiri na wabunge wa viti maalumu mkoa wa tabora umetuacha vibaya. sara Msafiri ni mbunge v. maalumu kupitia kundia la vijana, wabunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora ni Mama magreth Sitta na bi Munde Tambwe ulichokusudia kusema ni nini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Utakuwa Rais bila bila kuwa na mawakala?

    Waheshimiwa wana wa nchi , tukiwa tumebakiwa na siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu, naomba nitoe mshangao wangu mkuu ambao najua wengi utawashangaza pia. wote wenye matumaini ya kuwa Slaa atakuwa Rais wa nchi hii wanaweza amini nikisema kuwa Chadema haijaweka mawakala katika vituo zaidi ya 100...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mgombea wa CCM Nzega ashindwa kuanza kampeni

    wapinzani wameweka wagombea hao wawili na anayeuzika sana ni Meza isipokua i dought kama atakuwa na uwezo wa kiuchumi wa kuhimili mikiki mikiki ya kampeni maana as I said Chadema makao makuu wamekariri majimbo ya uchaguzi hivyo hawapo bize sana kwenye majimbo mengine japo kwa NZega wangewekeza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Chadema acheni Uzembe! Nzega ni yenu

    Naomba niseme wazi kuwa jimbo la NZega lipo wazi na wakazi wa NZega wote kwa moyo mmoja wameamua kumchagua Ndg Meza mgombea wa Chadema ninapo sema wakazi wa Nzega nina maana zaidi ya nusu ya wana CCM wa NZega hawatampa kura dr Kigwangala hivyo chadema mkiongeza nguvu kidogo sana jimbo hilo ni...
Back
Top Bottom