dah nimeshtuka maana mama yangu anaitwa jina hili pia.Wakuu, Poleni kwa kazi. Ninaomba kupata picha na CV/Profile ya Mheshimiwa mbunge wetu wa Viti Maalumu kutoka Tabora, Sarah Msafiri. Natanguliza Shukurani.
Yesu kristu mwalimu!!!una maana ya sarah msafiri ally mwizi wa waume za watu?:brick::angry::angry:
una maana ya sarah msafiri ally mwizi wa waume za watu?:brick::angry::angry:
amesoma nini? Maana cv mpaka uwe na kaelimu walau ka chuo chochote kikubwa. La 7 hawana cv
rekebisha kidogo post sisi tunaowajua sarah Msafiri na wabunge wa viti maalumu mkoa wa tabora umetuacha vibaya. sara Msafiri ni mbunge v. maalumu kupitia kundia la vijana, wabunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora ni Mama magreth Sitta na bi Munde Tambwe ulichokusudia kusema ni nini?