Utakuwa Rais bila bila kuwa na mawakala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utakuwa Rais bila bila kuwa na mawakala?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanzo, Oct 27, 2010.

 1. M

  Mwanzo Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa wana wa nchi , tukiwa tumebakiwa na siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu, naomba nitoe mshangao wangu mkuu ambao najua wengi utawashangaza pia!
  wote wenye matumaini ya kuwa Slaa atakuwa Rais wa nchi hii wanaweza amini nikisema kuwa Chadema haijaweka mawakala katika vituo zaidi ya 100 kwa mkoa wa Tabora pekee? na baada ya hapo mseme CCM imeiba kura au? anayetaka nitaje kata ambazo hazina mawakala wa CHADEMA aseme na hii ni kwa mkoa wa tabora tu sijui mikoa mingine acheni kudanganyika kuing'oa CCM ni shughuli pevu!
   
 2. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Itakuwa maafa ccm ikirudi madarakani-Dr W P Slaa..
   
Loading...