Recent content by MWANZA_MWANZA

  1. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

    Ni sheria ipi inayoruhusu watoto wadogo kupelekwa Sunday School au Madrasa
  2. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Hata vitabu vya dini vinasema,utajiri wa kweli ni ule unaorithiwa kizazi hadi kizazi.
  3. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Na siku hizi Wazazi tumekuwa wavivu,eti urithi wa Mtoto ni Elimu,Elimu sio Mali.Mo Dewji angepewa Elimu pekee bila Mali labda leo tungekuwa hata hatumjui.
  4. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Nadhani Chongolo na Kinana wanashangaa tu!

    Hawana shida nae ilimradi tu ailetee kura CCM
  5. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Kwenye Hotuba baada ya Nyerere ni Jakaya.Kuna ile ya siku ya Mazishi ya Mandela noma kabisa.
  6. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

    Jifunze kuandika kwa kifupi.
  7. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Race and Intelligence: Je, Whites Wana akili zaidi ya Blacks?

    Kwa ushahidi gani?
  8. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

    Dr.Slaa ana uwezo wa kuibomoa CDM 2025, tayari ameshawachukua Mdude na Mwambukusi.
  9. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi zana za Kivita zinazoondoka US kuelekea Israel nashindwa kuelewa ni nani hasa anapigana na Palestine! Ni sawa na Libya Kwenye Vita ya Kagera

    Ni ushabiki tu,na Wakristo wanahisi Israel ni wenzao,kumbe Wayaudi sio Wakristo.
  10. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Israel yashambuliwa

    Kufuatia shambulizi la Wanamgambo wa Palestina dhidi ya Taifa la Israel lenye Jeshi kamili,je nguvu za Israel zimeanza kupungua?,au Marekani imeacha kuilinda Israel.
  11. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kusikilizwa hotuba zake hazina matumaini kabisa

    JPM alikuwa anafoka
  12. MWANZA_MWANZA

    JamiiForums Tanzania Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Do you know this for sure,or you are just Politiking
Back
Top Bottom