Recent content by Mwanza kwetu pia

  1. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wapi niwekeze hela yangu ya kustaafu kama Tsh. milioni 100

    Njoo ujenge plant ya kuchenjulia marudio ya dhahabu utakuwa unakodisha kwa mwezi milion 4 na gharama ya kujenga plant nzuri ni kuanzia tshs 40,000,000, Kuna miezi plant zinakuwa bizy wateja wanapangwa wakisubiri aliyewahi atoke aingie mwingine
  2. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Madini/wafanya biashara za madini

    Asikuchanganye huyo amelewa
  3. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta dada yangu Rafia, na mdogo wake Hussein wapo dar es salaam wanitafute kwa email allygibu3@gmail.com Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  4. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndio kaomba ndege zisizo na rubani na zinginezo kwa china auziwe maana shughuli maana shughuli imekuwa ngumu kwake Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  5. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sio kweli hapo mwishoni tayari wanajeshi wa urusi wameshakufa zaidi ya 7000 na urusi kaishiwa baadhi ya silaha ameomba auziwe zingine na china, na pia FBI wametanga kuwa putin vita imeshakuwa ngumu kwake ila anaendelea kukomaa kuondoa aibu kwa mataifa makubwa yasione ameshindwa vita,
  6. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na umri wa zadi ya 35 na umepanga na familia, presha ya maisha inakuwa kubwa sana

    Unapenda kutulenga wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

    Mi nawaza bill gate namfikiaje nimguse hata 0.001% huku mtoa mada analeta research ambayo haina kichwa wala miguu.
  8. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanatubeba sana!!

    Mkuu punguza jazba msamehee bure kapitiwa tu
  9. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanatubeba sana!!

    Fact mkuu ndo tuamini usitupeleke Kama maccm na rangi zao za kijani toa vielelezo Kwanza Kama mwenzio kwakuwa sio ugomvi maana wewe unaonekana una wivu kupitiliza wahenga wanasema kikubwa kuomba uhai
  10. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naenda kuoa Moshi mke wa pili raha jipe mwenyewe

    Umesema kweli mkuu
  11. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naenda kuoa Moshi mke wa pili raha jipe mwenyewe

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  12. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Kwanini anamsengenya Kwanza amekukosea nini kijana wa watu ulimzaa wewe?
  13. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Jokate ana umri gani kwan
  14. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Wahindi kutoka Kenya wajaa kununua mahindi makambako

    Ngoja tuanze kulima mahindi sasa kwa kasi kubwa
  15. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    Icon naijua vizuri ukipukizia dawa inaisha nguvu after 6 months
Back
Top Bottom