Recent content by MWANTU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Saini feki za Katibu Mkuu UTUMISHI na TAMISEMI zinatumika kuhamisha watumishi vituo

    Mazingira wanayatengeneza wenyewe. Kwani kuwa mtumishi wa Umma ni utumwa? Mtu anaomba uhamisho kwa kufuata utaratibu then mtu mmoja anakalia barua pale TAMISEMI.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makontena 9 yakamatwa eneo la Mbezi Beach, Tangi Bovu

    Kasi ya Magufuli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yafahamu mambo 10 ya kuepuka ili Sheria ya Mitandao isikupitie

    hapo watanaswa wengi, na lengo la hii sheria ni kuwapata wachache kwanza watakao kuwa chambo ili wengine waogope. tuwe makini jamani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuinua Gari juu kidogo na madhara yake.

    kwa gari kama hiyo na carina unaweka spacer bila shida, mimi nimeona rafiki yangu kaweka na hajawahi kulalamika wala kuona tofauti yoyote.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Graduate Civil Engineer /Civil Technician Needed

    Weka wazi jina la kampuni tuangalie kama mmesajiliwa maana matapeli wengi cku hizi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mangi aamua kupiga kiberiti nyumba yake mara baada ya kubaini mke anasaliti penzi lao

    kwani hamna mchaga anayeweza kukata nanahii yake tuwaone kuwa ni jasiri?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na hasira wakati wa hedhi

    hii pia inatokana na kujihami watu wasikugundue upo ktk hali gani, lakini jaribu kutumia maji mengi ya vuguvugu yatakusaidia kukata hasira lakini pia husaidia kuondoa ule uchafu kwa haraka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

    mshahara wa dhambi ni mauti, ila tuangalie upande wa pili ni nani aliye msafi?
Back
Top Bottom