Kuinua Gari juu kidogo na madhara yake.

Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji ili niinue juu kidogo.

Lakini nimeelezwa na Layman mwenzangu kwamba kuinua gari juu kuna madhara ya kiufundi kwa gari husika, naomba mnishauri kabla sijaenda kuinua gari juu kidogo. Je kuna madhara gani gari yangu itapata????

Yangu nimeinyanyua, na sioni kama kuna madhara yeyote hadi sasa ni kama miezi 7 sasa.Ukienda kwa wataalamu wa magari watakuelekeza ni kwa kiwango gani gari lako linyanyuliwe
 
Bado unachemka tu, hutaki kukubali kwamba wewe ni mwanamama mjinga, hapa nimeleta mada ya kuinua gari ya chini ambayo tayari nimeinunua wewe unasema kanunue gari ya juu, mwanzo ulisema 'vizuri ghalama' as if gari zote za juu ni ghalama.

Nakushukuru sana wewe bibi mzaa mwanamama mjinga!
 
Na mimi nilikuwa nafikiria kwenda kuinyanyua passo yangu maana napata sana shida kwenye njia ya kwenda makongo juu lakini baada ya kusoma maoni ya wadau hapa nimebadili mawazo.
 
Utahamisha "centre of gravity, CG" ya gari lako! Itakugharimu kupunguza mwendokasi!
Nina imani matumizi ya mafuta yataongezeka kutokana na ongezeko la "drag force" n.k.

Kubwa kuliko yote, gari lako litakuwa na umbo baya (umbo lisilo asili yake).
Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu CG ila hii Drag Force hebu fafanua kidogo mbona kama umechemka physics hio? Drag force inaweza kuwa produced na air resistance tu hapo , considering that tyre size will be the same kwa hio friction na barabara ni hio hio. Sasa gari ikiwa chini sana c ndio drag inakuwa kubwa kuliko ikiwa juu juu coz upepo unakuwa hauna nafasi ya kupita chini ya gari kuliko ikiwa juu, so badala ya kuzungumzia drag nadhani ungesema inakosa stability, why bcoz itatend kuwa lifted up na upepo unaopita chini baada ya CG kuwa juu kuliko its pre determined position. Kwa hio mjomba akisafiri ajue kabisa speed limit sio 180 tena itakuwa labda 150 tu na kwa hio safe speed kuwa 100-120 tu anapokuwa highway!
 
Na mimi nilikuwa nafikiria kwenda kuinyanyua passo yangu maana napata sana shida kwenye njia ya kwenda makongo juu lakini baada ya kusoma maoni ya wadau hapa nimebadili mawazo.
Kanyanyue ti mkuu wasikutishe, mimi nimenyanyua na ni fundi na nimesoma science na ni eng pia. Wanachosema ni kweli tu kama utainyanyua kwa mafundi wa jua kali, spacer zipo size tofauti so unachotakiwa ni kumpata mtaalam mzuri wa kunyanyua magari atainyanyua na utaipenda sana. Kuhusu kukosa balance ni kweli kwa kiasi kidogo sana tena ukiwa highway na ukienda mwendo mkali sana ovet 120 km/ hr. Ila kwa mwendo wa kawaida na hasa hapo dar kanyanyue gari mjomba vinginevyo utaiharibu bure tu.
 
kwa gari kama hiyo na carina unaweka spacer bila shida, mimi nimeona rafiki yangu kaweka na hajawahi kulalamika wala kuona tofauti yoyote.
 
vigari vifupi kama IST ukinyanyua vinakosa Balance but kama wewe sio mzoefu sana wa magari huwezi kunote tofauti ya gariz zilizoinuliwa na ambazo hazijainuliwa.

gari ikiwa ndefu kama opa au spacio new model ni Okay.
 
Kanyanyue ti mkuu wasikutishe, mimi nimenyanyua na ni fundi na nimesoma science na ni eng pia. Wanachosema ni kweli tu kama utainyanyua kwa mafundi wa jua kali, spacer zipo size tofauti so unachotakiwa ni kumpata mtaalam mzuri wa kunyanyua magari atainyanyua na utaipenda sana. Kuhusu kukosa balance ni kweli kwa kiasi kidogo sana tena ukiwa highway na ukienda mwendo mkali sana ovet 120 km/ hr. Ila kwa mwendo wa kawaida na hasa hapo dar kanyanyue gari mjomba vinginevyo utaiharibu bure tu.

hiki ndio mimi nimekisema kuhusu kunyanyua gari.....utacompromise stability na comfortability.....
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu CG ila hii Drag Force hebu fafanua kidogo mbona kama umechemka physics hio? Drag force inaweza kuwa produced na air resistance tu hapo , considering that tyre size will be the same kwa hio friction na barabara ni hio hio. Sasa gari ikiwa chini sana c ndio drag inakuwa kubwa kuliko ikiwa juu juu coz upepo unakuwa hauna nafasi ya kupita chini ya gari kuliko ikiwa juu, so badala ya kuzungumzia drag nadhani ungesema inakosa stability, why bcoz itatend kuwa lifted up na upepo unaopita chini baada ya CG kuwa juu kuliko its pre determined position. Kwa hio mjomba akisafiri ajue kabisa speed limit sio 180 tena itakuwa labda 150 tu na kwa hio safe speed kuwa 100-120 tu anapokuwa highway!

kwa kauli hii racing cars[refer F1,NASCAR,WRC] zingekuwa juu kuliko ambavyo zipo sasa almost zinatembelea tumbo....au simply angalia porsche,ferrari,lambo etc
 
Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji ili niinue juu kidogo.

Lakini nimeelezwa na Layman mwenzangu kwamba kuinua gari juu kuna madhara ya kiufundi kwa gari husika, naomba mnishauri kabla sijaenda kuinua gari juu kidogo. Je kuna madhara gani gari yangu itapata????
kanyanyue tu tena waambie wakuwekee vya aluminiamu ndo vizuri..
 
Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji ili niinue juu kidogo.

Lakini nimeelezwa na Layman mwenzangu kwamba kuinua gari juu kuna madhara ya kiufundi kwa gari husika, naomba mnishauri kabla sijaenda kuinua gari juu kidogo. Je kuna madhara gani gari yangu itapata????

Hakuna madhara yeyote,risk ya ajali inabakia kama ile risk ya original status.Mimi nina gx100 mark 2,ina miaka 2 toka ninyanyue na ipo comfortable na stable tu bila shida.
 
Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji ili niinue juu kidogo.

Lakini nimeelezwa na Layman mwenzangu kwamba kuinua gari juu kuna madhara ya kiufundi kwa gari husika, naomba mnishauri kabla sijaenda kuinua gari juu kidogo. Je kuna madhara gani gari yangu itapata????

Niliweka spacer kwenye toyota premio na sikujutia..siajapata tatizo lolote la centre of gravity wala tatizo la speed..vile vile matumizi ya mafuta ni yale yale..cha muhimu ni kutafuta fundi ambaye ana uzoefu na shughuli hii ila asiliinue sana...!!
 
Kaka gari yenyewe ni Toyota Premio new Model

Mkuu nadhani kabla ya kufanya maamuzi ya kununua ako kagari unakosema ni kadogo,ungefanya upembuzi yakinifu kulinganisha aina tofauti za magari na kuliganisha uwezo na matumizi ya mafuta pia kuangalia gari inayokufaa kutokana na mazingira unayoishi,ako kagari unakosema kadogo kana ingine capacity gani?

Na ninavyoijua hiyo primio new model mpaka umekatia mkononi si chini ya 12mil,kuna gari kama suzuki Escudo,toyota Rav 4 hizi ni gari ambazo zipo juu na inauwezo mzuri sana wa kukimbia na kwa gharama ya petrol kidogo na bei zake zinalingana tu na hiyo primio yako,mm nadhani kupanga nikuchagua,hako ka primio ni kazuri sana,ndio chagua lako,lakini kama ungekua umezingatia mazingira unayoishi/kutembelea ungetupia macho kwenye aina hizo mbili zingine ama ungefanya kama mimi nilivuta Toyota caldina 2003 nikaona iko chini nikajipanga nimechukua Rav 4 ya 1998 zote zina Cc 1998,nimekwenda nayo dodoma kwenda na kurudi litre 80 tu,Jipange mkuu
 
Ninayo Toyota IST nimewekea spacer mbele na nyuma...imenyanyuka vizur but huwezi kunotis kwa macho, iko juu hata nikibeba mzigo mzito haigusi ovyo matuta na speed nakula mpk 160 highway Dar-Ar na iko na balance na imetulia barabarani balaa...coz propotionally iko juu kwa uref sawa kila upande....!
 
Hii issue u can do it in tow ways one u can change rim na tyre second option ni specer za Chuma sio rubber. There are special fundi wanafya hii kazi. Find them hapa Arusha I have one and is work is perfect. All the best
 
Kabla na baada ya kunyanyua kwa spacer
Kabla ya kuweka spacer sample ilikuwa iko chini usawa wa red dots....ni risk sana ikitokea unaigongagonga sehem no. 4....ukiinua kwa spacer ikitokea bump ni kubwa mno itaishia kugusa msingi wa gari no. 1 na 2..hii advantage ya sample kupanda juu usawa wa yellow dots huipati kwa kuongeza size ya tairi....
 
Attachments

  • 1387459736774.jpg
    1387459736774.jpg
    77 KB · Views: 166
  • 1387460693287.jpg
    1387460693287.jpg
    78.6 KB · Views: 164
kwa kweli inasaidia, hasa pale gari
yako ipo chini kiasi cha kugusa
mashimo, matuta au mawe,
unashauriwa kufunga kitu kinaitwa
SPACER, zipo za aina mbili, za zamani
za rubber na za siku hizi za
alluminium, unafunga kulingana na gari
yake ipo chini kiasi gani, zipo za nusu
inchi, inchi moja, moja na robo na moja
na nusu, gari inanyanyuka vizuri bila
hata kubadilisha tairi au rim au
suspension,
wengi wanadhani kuongeza tairi kubwa
ndio inanyanyua gari la hasha na
ambae atakuambia kuna madhara ya
kufunga spacer basi huyo ni mjinga na
hajui kitu, kwa sababu me nadeal na
spacer kwa miaka mingi sasa na
sijapata malalamiko yoyote infact
napata wateja wengi zaidi
kama unahitaji spacer za gari la AINA
YOYOTE LILE basi njoo mtaa wa twiga
na jangwani mkabala na club ya yanga
kariakoo kuna duka linaitwa MR
SPACER, au ukipotea ulizia kwa mtu
yoyote basi utafika, kwa mawasiliano
zaidi 0713800780, 0784447953,
funga spacer uokoe mambo mengi
katika gari lako, acha kuhangaika sasa
 
kwa kweli inasaidia, hasa pale gari
yako ipo chini kiasi cha kugusa
mashimo, matuta au mawe,
unashauriwa kufunga kitu kinaitwa
SPACER, zipo za aina mbili, za zamani
za rubber na za siku hizi za
alluminium, unafunga kulingana na gari
yake ipo chini kiasi gani, zipo za nusu
inchi, inchi moja, moja na robo na moja
na nusu, gari inanyanyuka vizuri bila
hata kubadilisha tairi au rim au
suspension,
wengi wanadhani kuongeza tairi kubwa
ndio inanyanyua gari la hasha na
ambae atakuambia kuna madhara ya
kufunga spacer basi huyo ni mjinga na
hajui kitu, kwa sababu me nadeal na
spacer kwa miaka mingi sasa na
sijapata malalamiko yoyote infact
napata wateja wengi zaidi
kama unahitaji spacer za gari la AINA
YOYOTE LILE basi njoo mtaa wa twiga
na jangwani mkabala na club ya yanga
kariakoo kuna duka linaitwa MR
SPACER, au ukipotea ulizia kwa mtu
yoyote basi utafika, kwa mawasiliano
zaidi 0713800780, 0784447953,
funga spacer uokoe mambo mengi
katika gari lako, acha kuhangaika sasa

Umekuja full aisee,nidokeze kuhusu gharama..namba nmeziona ndio ila ningependa ungeweka hapa
 
Back
Top Bottom