Nampata uyo mwamba yupo pale shopaz unapewa na pipi kabisa Jamaa sababu za kuwa mteja wake nilienda kumuomba anichajie simu yangu ilizima…Vile alinipokea nikanunua chaji na kuweka movie tatu akanipa na moja Bure oyaaaaa Jamaaa wako vizuri sana[emoji91]
Ni kweli mkuu fax kutumwa na kurudi kwa majibu ni kitu cha muda mfupi, ila sasa tatizo wanapenda kuweka miezi mitatu ili washughulikie kwa wingi ili wakiwatoa wanawatoa kwa bulk..ila kwa mikoa ambayo haina wanufaika wengi ni haraka sana kupata kuliko yenye wanufaika wengi kama Dar na Arusha na...
Inawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao...
Elimu ya kulipia kabisa iiii unaipta bure bless sana mkuuu
napenda sana ule uzi unaelezea maswala ya ntrovert kitu kama iko niliusomaga zamani sikumbuki ulipo ila somebody davinc kama ni wewe please naomba link
Juz ( i mean siku si nying) nilimuona Barabarani maeneo ya kirombelo opposite na shopaz mitaa ya Arusha akiwa ndan ya Range sport nyeupe namba D piruuuuuuuu
Habari wakuu wangu wadogo marahaba wakubwa shikamooni.
Kwanza natanguliza shukurani zangu dhati kwa wote mliopitia hapa na kusoma uzi huu.
Leo napenda nitoe ushauri kwa wadogo zangu kaka zangu dada zangu mliomaliza Form four na matokeo kuja tofauti yaaani kufeli kupata four au zero kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.