Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Mwingine huyu hapa anachuma alichopanda


IMG-20220201-WA0003.jpg
 
Hamna kesi hapo, toka lini ofisi za DCI na DPP wakashtakiwa au kushinikizwa wafungue kesi. Mzee wa shanga Kubenea ni kakurupuka. Bashite hatofika,DCI hatofika wala kupeleka uwakilishi na DPP hatofika. Ningekuwa mimi Makonda ningetuma mawakili ili badae mzee wa shanga aje anilipe gharama za kuendesha kesi.
 
Hatimaye aliyejifanya mwamba sasa ni kima! Tuu na hiyo adhabu aliyojipa mwenyewe ni kubwa nadhani hata kuliko ya mahakama kwani hajui tuu labda ataonekana hana hatia namshauri tuu ajitokeze ili aone mkono wa sheria unavyofanya kazi.

Kwa mtazamo wangu nadhani yeye akifanikiwa kukataa kuwa yeye sio mlalamikiwa bali yeye kwa majina halisi ni Daud Albert Bashite atashinda asubuhi na mapema tuh hiyo tarehe 08.02.2022
 
Duh! Atakuwa anaishi kama digidigi. Kama katoroka labda atakuwa South Africa
Kwa pesa gani hali hana ubunifu wa utafutaji zaidi ya upigaji.

Naona zile daladala zake kauza na hotel yake anauza, unafanya biashara kwa kutegemea mfuko wa watu.

Huwa hawana ujanja wa kuishi nje ya mshahara hawa.
 
Aaah bashite usikimbie kikombe hiki.
Waganga walikuponza wakurudishie pesa yako.
 
Yule aliyekuwa anasaka watu hadi vivyli vyao, sasa ni zamu yake kusakwa...kweli mambo hubadilika haraka
 
Waganga ni watu wabaya Sana ukupa matumaini hewa Ili wapige pesa zako. Thus kwangu mtu anaetegemea waganga umuona ana low thinking sana. Kwenye shida lzm waganga wakutose.
 
Juz ( i mean siku si nying) nilimuona Barabarani maeneo ya kirombelo opposite na shopaz mitaa ya Arusha akiwa ndan ya Range sport nyeupe namba D piruuuuuuuu
 
Back
Top Bottom