http://www.the-most-beautiful-business-on-earth.com/
Please find that book. If you realy have ambition t o the biz but still having a fear..
Avoid kukaririshwa Nzalendo
Mh...Hallo kipato chako ni cha kawaida sana. Sio kikubwa wala kidogo. Mpangilio wa kutimiza ndoto zako upo na utaendelea kuwepo.. Kwa 2m unaweza kujenga au usiweze kutegemea unataka nyumba ya aina gani. Chumba na sebule ni miezi kadhaa tu unajenga.
Lkn kwa nyumba std ya vyumba vitatu sebule...
Baada ya kusoma nyuzi hizi za kuwapambanisha wanachama wanaodhaniwa kugoimbea urais kwa tiketi ya CCM nimegundua kuwa nyuzi zote zinasumbua vichwa vyetu tu. Thread zinakuwa ndeeeefu ukiangalia ni watu wanne tu wanaobishana. Hivyo naamini kuwa hawa jamaa unaweza ukawaalika msibani ili wakalie...
Faiza labda unijibu swali langu lifuatalo:
1. Kukiwa na kosa/kesi yoyote yenye watuhumiwa saba kisha hukumu ikatoka wawili wakaachiwa huru na watano wakafungwa, kwa nini huwa hatusemi wote waachiwe kwa kuwa watuhumiwa wawili wameonekana hawana hatia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.