Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
aopolewe-nani.jpg From Mwananchi
Je Kikwete, Mtendaji Mkuu wa serikali na chama tawala atamuopoa nani au ataikomalia Bunge?
​
 
Pinda amekwepa kimiujiza, ama kweli sumbawanga kunatisha.
Pinda hajakwepa, ni mfa maji and like a drowning man he is merely clutching at a straw! Asipoangalia atazama na mtu! Ni heri angejiuzulu, hapo angepata ahueni! Lakini hapa kapewa kamba na inabidi aamue ajinyonge au afe na mtu.
 
Pole zako kwa utetezi wa wahuni, tumbili na mafisadi wote chalii!!!!

huyo.. FaizaFoxy anatafuta apewe uko wa wilaya naona.....
yeye anafukiri ngoma ya escrow imeisha kumbe ngoma bado......mbichi
 
Last edited by a moderator:
huyo.. FaizaFoxy anatafuta apewe uko wa wilaya naona.....
yeye anafukiri ngoma ya escrow imeisha kumbe ngoma bado......mbichi

Ni hivi, pandora box imeshavunjwa kufuli na sasa tunasubiri ifunguliwe! Pinda angejiuzulu angeweza kuchomoka lakini kwa kung'ang'ania kubaki kwenye kijiboti huku dhoruba kwanza ndio inaanza...ni mtu wa kuhurumiwa. PAP imesulubiwa lakini washiriki wenza wa PAP bado...jamani vuteni tu subira! Wengine tulionya toka mwanzo, hatukusikiliwa...wezi wakaamua kuteteana, shauri yao!
 
Ni hivi, pandora box imeshavunjwa kufuli na sasa tunasubiri ifunguliwe! Pinda angejiuzulu angeweza kuchomoka lakini kwa kung'ang'ania kubaki kwenye kijiboti huku dhoruba kwanza ndio inaanza...ni mtu wa kuhurumiwa. PAP imesulubiwa lakini washiriki wenza wa PAP bado...jamani vuteni tu subira!

alafu pinda kwenye boti hana life jacket wimbi la pili likimpiga ataona cha moto....atakunywa vikombe vya maji baraaaaaaa
 
Pinda hajakwepa, ni mfa maji and like a drowning man he is merely clutching at a straw! Asipoangalia atazama na mtu! Ni heri angejiuzulu, hapo angepata ahueni! Lakini hapa kapewa kamba na inabidi aamue ajinyonge au afe na mtu.

you are great thinker!
 
Nani kasema umeme ni feki.ss tunasema mkataba ni wa wizi.ukiniuzia kuku wa sh 10000 kwa sh 20000,umeniibia.iptl ni wezi
 
.. FaizaFoxy lazima ukubali hawa ambao wanakuwa viburi kujiuzulu ni kwa sababu....mkuu wa kaya yuko nyuma hii skendo na yeye kachota mihela tena yeye alienda na fuso....period
 
Last edited by a moderator:
Nani kasema umeme ni feki.ss tunasema mkataba ni wa wizi.ukiniuzia kuku wa sh 10000 kwa sh 20000,umeniibia.iptl ni wezi

Hakuna kitu ka hicho.kina zito ni waongo hawasemi ukweli.
Umeme wa iptl in fact ni rahisi zaidi kuliko wa songa na symbions na pia capacity charges zake pia zipo chini kuliko symbion na songas.
Huu ndio ukweli .suala hili watu wamelishwa sumu.
Ni kawaida kampuni za umeme za south huwa zina pigwa vita sana.
Kina zitto i challenge them hawana ubavu wa kuzivalia njuga capacity charges kubwa za symbions hata siku moja.
Haya ni majungu tu na watu wanatumika .
Inawezekana kuna ulaji wa hapa na pale lakini suala limechukuliwa kisiasa kuliko haki na sheria.
Nyerere alianzisha mahusiano haya ya nchi za south south kushirikiana kibiashara ndio ikaja hii iptl kupitia kampuni malaysia.lakini tangu iingue imekua ikipigwa vita sana mpaka hali ikaifanya kampuni ya Melchar ifilisike kutokana na usumbufu mkubwa walo upata Tanzania.
Wazungu hawataki kabisa mtu mwengine aje azalishe umeme au apate hisa za gas hapa Bongo.
Wanataka makampuni yao tu.
Wamesikia ujio wa Putin basi madalili wa mabeberu utaona watavo tumika kuharibu mikataba yoyote ya energy itayofikiwa na Russia.
Watahakikisha gas yote inalimwa na mabwana zao mabeberu na kuchumwa kupelekwa nje kama madini yana vo chimbwa na hakuna mbunge wala nyoko gani ananyanyua DOMO lake kukemea kwa nguvu.
Hivyo tutabaki kutamba tu tumegundua gas vitalu lukuki lakini umasikini wetu hautondoka wakati tukiwa na madalali wa mabeberu ndani ya bunge.
Yaani wabunge wanadiriki kumshambulia ma kumkejeli naibu waziri wa m
Nje alie mpasha balozi mnyinyaji wa uingereza...ajabu kweli hii ni Tanzania pekee unatokea.
 
Ni nani aliyeachia ngazi? unaamini analysis yangu sasa? au bado una mashaka nayo.

Katika hili naona tumejiingiza katika matatizo zaidi na nnakuja na nyuzi mpya ya kuonesha hayo.

mfikishie salamu kaka yako wa magogoni popote pale atapokuwa sahivi...

mwambie "ajichanganye aone"
 
Ni hivi, pandora box imeshavunjwa kufuli na sasa tunasubiri ifunguliwe! Pinda angejiuzulu angeweza kuchomoka lakini kwa kung'ang'ania kubaki kwenye kijiboti huku dhoruba kwanza ndio inaanza...ni mtu wa kuhurumiwa. PAP imesulubiwa lakini washiriki wenza wa PAP bado...jamani vuteni tu subira! Wengine tulionya toka mwanzo, hatukusikiliwa...wezi wakaamua kuteteana, shauri yao!

huu ulikuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza lao
 
Hakuna kitu ka hicho.kina zito ni waongo hawasemi ukweli.
Umeme wa iptl in fact ni rahisi zaidi kuliko wa songa na symbions na pia capacity charges zake pia zipo chini kuliko symbion na songas.
Huu ndio ukweli .suala hili watu wamelishwa sumu......

Aaaaaaah umo kwenye mgao nini, naona povu linakutok kwa kutetea!

Huo umeme uwe ni rahisi au vipi lakini fact ipo ni kwamba walikuwa wanaovercharge, sasa kwa nini wasingeongeza kwa makubaliano mpaka kwa ujanja ujanja?
 
Faiza labda unijibu swali langu lifuatalo:
1. Kukiwa na kosa/kesi yoyote yenye watuhumiwa saba kisha hukumu ikatoka wawili wakaachiwa huru na watano wakafungwa, kwa nini huwa hatusemi wote waachiwe kwa kuwa watuhumiwa wawili wameonekana hawana hatia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom