Recent content by Mwangubi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu mpo?

    Tunakwenda kufungwa midomo,hakutakuwa na mtumishi wa Mungu,wala cha nani,ngoja tukasome namba
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

    Mleta maada unashangilia ujinga kama huu,utakuwa na mapungufu ya akili
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Mchungaji na wizi wa kura
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamevuna walichopanda; wengi waliishi mjini na kuyatelekeza majimbo. Hadi sasa hakuna mpinzani aliyeshinda

    Kwa huu wizi wa kula,wewe mleta maada huna akili kabisa kuleta hoja zako za kupuuzi,
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Natabiri kutokea mpasuko mkubwa ndani ya CCM kutokana na dhuluma walioufanyia upinzani sasa wanaenda kutafunana wenyewe kwa wenyewe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

    Ngoja wakamuongezee jiwe kikomo Cha uraisi
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msikie 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach akituma salamu mahsusi kwa Dkt. Magufuli kuhusu Uchaguzi

    Hata Kama Tundu lissu hatashinda kwa kufanyiwa mizengwe,lakini naamini nitakuwa nimeshinda Mimi kwa kusimamia haki dhidi ya dhuluma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa familia ya Ali Hassan Mwinyi

    Madaraka ni sawa na ulevi,hii familia imelewa Kama hawajakulia kwenye madaraka,Haina tofauti na maagano ya kumtumikia shetani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

    Maonevu yote hayo wanayofanyiwa wapinzani hujaona hata moja
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

    Uisilam ni Dini ya haki, kwa Nini waislam wenyewe kwa wenyewe mnafanyiana hivi? Hii yote kwa ajili ya uroho wa madaraka, halafu Bado viongozi wa dini wamekaa na watakaa kimya.
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo

    Hivi unazani mleta maada CCM ilichokifanya Nini miaka yake yote,zaidi ya kuiba na kujilimbikizia Mali viongozi,ndio maana siasa wameifanya Kama biashara,kwa Nini wanalazimisha kushinda Kila siku,kwa Nini hawataki time huru
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

    Viongozi wa dini hilo hawalioni,kazi kujipendekeza kwa selikali,halafu mtu anahubiri uvunjifu wa amani
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Shuhudieni CCM walivyoshangilia tishio la kupotezwa kwa Watanzania wenzao wenye mawazo tofauti, halafu eti tunashangaa ndugu zetu wapinzani kupotea!

    Huyu mzee hata akishinda urais mwisho wake utakuwa mbaya sana.kumbu mbaya huwa hachaguwi wa kumtendea ubaya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hamad Masoud Hamad wa ACT-Wazalendo aliyedaiwa kutekwa, afikishwa Kituo cha Polisi

    Halafu watu wanasema tuwaombee, inchi gani hii ya kutishana hivi mapadri na mashekhe hamuyaoni haya, kwa Nini tusimuone shehe ponda Kama mkombozi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu alikuwa mwanasheria na mbunge, kwanini hakuwatetea Masheikh waliopo Gerezani?

    Shekhe wa kweli ni shekhe Ponda peke yake, aliyejipambanua toka mwanzo kutetea haki na anajulikana ni mpambanaji juu ya dhuluma wanazofanyiwa wiisilam hao wengine ni masheikh maslahi
Back
Top Bottom