Mwambie tatizo, inawezekana yeye hajijui hivyo utakuwa umemsaidia na naamini hawezi kuchukia. kama ni mpenzi wako kweli na mnapendana na malengo ya kufika mbali kwenye mahusiano yenu basi kaa nae chini mueleze tatizo na muende hospitali, kwa maana hilo tatizo linatibika vizuri kabisa.
Binafsi sijaona kosa hapo, yeye kama mwanaume anatimiza wajibu wake kihisia ni vile tu alishindwa kukwambia direct, Btw kutamani na kutongoza ni kazi kuu ya mwanaume hapa duniani mpaka tunaingia kaburini so its either umtunuku au la
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.