Recent content by MWANDEPEKA

  1. MWANDEPEKA

    Kiwanja kinauzwa kipo Kihonda Morogoro Mjini

    *Kiwanja kinauzwa* , kipo eneo la MANISPAA YA MOROGORO, KATA YA KIHONDA, MTAA WA NGUVU KAZI, KIMEPIMWA SQ 800M , sawa na Urefu hatua 40 upana Hatua 20. *Bei SHS. 3.5M* , Kipo umbali wa 1.5km kutoka barabara ya Dodoma Road,,, Eneo tambarare kabisa. Mwenye kiwanja yupo na shida, anahitaji...
  2. MWANDEPEKA

    Dotto Bulendu: watumishi wa umma wanapiga simu kwenye vyumba vya habari

    Kichwa mbonyeo kiboko kwa visasi Post sent using JamiiForums mobile app
  3. MWANDEPEKA

    Natafuta mume

    Ni pm
  4. MWANDEPEKA

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nategemea kuanza kufuga kuku kama 300 aina ya kuroiler ili niwauze pasaka mwakani.maana maisha ya kutegemea mshahara yanaumiza sana kwakuwa nitakuwa mgeni katika ufugaji nitakuwa nawasumbua sana kwa maswahili kuhusiana na ufugaji wa kuku
  5. MWANDEPEKA

    Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

    Ni kiboko wasiofuata katiba ya nchi
  6. MWANDEPEKA

    Kwa wale tunaojua kabisa hatuwezi kusoma shahada

    Alivyomaliza kidato cha nne nilimshauri asiende kidato cha tano kwani atafuta ndoto zake za kuwa ktk sekta ya afya nikamwambia aende diploma akanigomea
  7. MWANDEPEKA

    Kwa wale tunaojua kabisa hatuwezi kusoma shahada

    Mdogo wangu kapata D ya kemia,F ya fizikia na S ya bios.vp anaweza kwenda diploma ya phamasia wadau.
  8. MWANDEPEKA

    Nimeshangaa kweli, lila mtoto mzuri tayari ameshazalishwa

    Manyuvu wamezalishwa labda aende muyama na mkigo
  9. MWANDEPEKA

    Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

    Makamba yusuph alisema kuwa lowasa mchafu na hafai ha ha ha kumbe watoto wake madalali wa nchi yetu
  10. MWANDEPEKA

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Ha ha ha islamic bhana hivi yale majengo ya MOROGORO MUSLIM UNIVERSTY MLIJENGA LINI.HV MNAMILIKI HOSPITAL KUBWA YA RUFAA KAMA WEZENU WAKRISTO WANAVYOMILIKI BUGANDO,KCMC, na hospital mbalimbali kila kona ya nchi hii na hospital zao zinatumiwa na serikali kama za wilaya.hebu waigeni wakristo...
  11. MWANDEPEKA

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Chuo cha TANESCO MOROGORO naomba mturudishie nanyi mjenge kama wezenu wakristo sio kubebwa bebwa tu
  12. MWANDEPEKA

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Kumbe mda mwengine unakuwa na akili safi na unaziacha za kishetan
  13. MWANDEPEKA

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Ni kweli ccm mnamisingi ya kijinga kama sasa mmekuja na misingi ya kutumia nguvu na mna historia ya kuwa na mali kibao ila mnaishi kimaskini na kutwa kuomba omba huko magharibi
Back
Top Bottom