Recent content by mwandagoo

  1. mwandagoo

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Pole sana ndugu mungu atakusaidia ktk hili Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
  2. mwandagoo

    Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani

    Hongera askari kwa kufanya kazi yako vizuri kama inavyotakiwa
  3. mwandagoo

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Naunga hoja kwa herufi kubwa hawa mabosi wanakera watu mitani sana
  4. mwandagoo

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Huyo Askari ninampa tano japo alipiga risasi juu hawa viongozi wanamna hii wanatishia watumishi na RAIA wa kawaida hongera askari upandishwe na CHEO hawa watu wanatuboa sana
  5. mwandagoo

    Magombana anavowanyanyasa wanafunzi

    Umbea wa nini jenga hoja uongozi wa chuo utawaelewa tu!
  6. mwandagoo

    Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Tatizo vyama wa upinzani vimehama kwenye reli sio LIPUMBA TU
  7. mwandagoo

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Big up mh. Magu
  8. mwandagoo

    Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

    Acha sheria ichukue nafasi yake
  9. mwandagoo

    Polisi mkamateni Abdul Kambaya asaidie upelelezi

    Its politics drama mnawaraumu buree police, viongozi wa CUF wanaweza wa kamaliza huu mgogoro so nguvu mnayopeleka kwa police pelekeni kwa viongozi wa CUF yaani maalim na lipumba
  10. mwandagoo

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    tusiraimu tu bali liwe somo kwetu, police ni binadamu kama sisi nao wanaumia so lugha chafu dhidi yao kichapo hakikwepeki,
  11. mwandagoo

    Tundu Lissu: Nape si shujaa, amevuna alichokipanda!

    Tundu lissu big up kwani wewe nimsema ukweli
  12. mwandagoo

    Ubunge Afrika Mashariki: Mgogoro Mzito ndani ya CHADEMA waibuka

    Hivi vyama vya bongo vinafanana kasolo majina
  13. mwandagoo

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Watumishi namba tutaisoma maana watetezi, wasomi na wanasiasa wote wapo kwenye mambo ya udaku maswala ya msingi wameyaacha, hii ndio Tanzania kila MTU anaubinafsi
Back
Top Bottom