Recent content by MWANAWILE

  1. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Singida - Arusha: Maji yaziba njia, magari yamesubiri maji yapungue

    Sawa. Chukueni tahadhari msiyadharau maji.
  2. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    R.I.P brother Kibonde Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Kamachumu, Muleba: Moto wateketeza Mabweni ya shule ya Msingi St. Joseph Usiku

    Poleni wanafamilia wa Rutabo
  4. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Serengeti kuna fisi wengi sana si rahisi kupata mabaki ya mwili eneo la tukio.
  5. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Yakitoka yanahakikiwa tena. Hili ni zoezi endelevu.
  6. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi mkongwe, Mayage S. Mayage afariki dunia

    Apumzike kwa amani.
  7. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Je, mnajua CCM ilishakufa? Kilichopo ni chama tofauti kabisa, Fuatana nami

    Msajili wa Vyama vya Siasa ana taarifa ya CCM mpya?
  8. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________
  9. MWANAWILE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama uvinza(chumvini) zilipendwa!

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  10. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Mungu akuponye TL urudi kutetea wanyonge. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Wabunge ingilieni kati suala la stahiki za wafanyakazi

    Hii ni ngumu sana maana hata wabunge nao wanalialia tu. Kimsingi serikali ijali mikataba ya kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania India yaitandika Tanzania kwa diplomasia ya "mbaazi". Yagoma kuinunua hadi kufikia kuuzwa Tsh 200 kwa kilo

    Mkulima analia. Mfanyabiashara analia. Mtumishi wa umma analia. Wapi penye nafuu? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. MWANAWILE

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki atoa tamko nyongeza ya mshahara

    Hakuna lolote. Hakuna cha bilioni 600 wala nini. Waziri alishatoa matamko mengi kama hayo na hakuna lililotekelezwa. Kifupi watumishi wamekata tamaa maana hata haki zao za msingi kama increments nazo zimezuiwa. Na kama uhakiki umemalizika kipi kinachomzuia kutoa tamko linaloeleweka? Sent using...
Back
Top Bottom