Mwanza: Safari ya mwisho ya ndugu yetu Agapiti Mallya aliyeuawa na majambazi

Barikiel

JF-Expert Member
Feb 2, 2014
403
401
Habarini za Leo ndugu zangu wa Tanzania wenzangu na wana Mwanza wote.

Siku mbili tatu zimepita nilileta malalamishi humu ndani kuhusu mauaji yanayoendelea Jijini Mwanza hususani maeneo ya Nyegezi na vitongoji vyake.

Leo ilikuwa ndio siku ya kuuaga mwili wa mwenzetu aliekutwa na umauti, Bwana Agapiti Malya.

Pia nipongeze Jeshi letu kwa Polisi taarifa tuliyoisikia leo kwenye vyombo vya habari ya kuwa wauaji wameshakamatwa. Pia haitoshi kujiridhisha kwa taarifa hiyo lazima wananchi waendelee kubeba tahadhari kila watokapo majumbani alfajiri pia warejeapo majumbani kwao muda wa usiku.

Nasema hivi kwa maana ya kuwa wauaji lazima watakuwa na cheni kubwa. Siamini kama watu wawili au 3 wanaweza kufanya matukio hayo eneo lote hili Nyegezi, Mokolani, mpaka Buhongwa.

Kwahiyo tahadhari ni muhimu.

Mwisho tuwa ombee Familia na ndugu wanao kwenda ku safiri kwa ajili ya kupeleka Mwili wa bwana Mallya kwenda kule mkoani Kilimanjaro kwa maziko.

Mwenyezi MUNGU awatangulie mfike salama na mrudi sakama Amina. R I P. Agapiti Malya.

13328523561fc815b318d577b036e139.jpg
20af99512c64cdc975e0e5ba37cf1fa9.jpg
3d16770178b044dbea93d681fe75e279.jpg
ee4ece1437a47e793d788343052b7488.jpg
72c16a1cb14bcf32e649cf38e38a4e45.jpg
 
Aiseeeee Mkuu poleni sana, Mungu awatie nguvu kipindi kama hiki wanafamilia, ndugu, jamaa na rafiki wa marehemu.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala panapostahili.

Amen!
 
Binti yake nimesoma nae
Alikua jirani yetu Mwanza enzi hizo
Daaaah
 
Poleni sana.

Hili linchi bwana lishakuwa balaa,, nachukia mno nikisikia mtu akisema TANZANIA NI NCHI YA AMANI.
 
Habarini za Leo ndugu zangu wa Tanzania wenzangu na wana Mwanza wote.

Siku mbili tatu zimepita nilileta malalamishi humu ndani kuhusu mauaji yanayoendelea Jijini Mwanza hususani maeneo ya Nyegezi na vitongoji vyake.

Leo ilikuwa ndio siku ya kuuaga mwili wa mwenzetu aliekutwa na umauti, Bwana Agapiti Malya.

Pia nipongeze Jeshi letu kwa Polisi taarifa tuliyoisikia leo kwenye vyombo vya habari ya kuwa wauaji wameshakamatwa. Pia haitoshi kujiridhisha kwa taarifa hiyo lazima wananchi waendelee kubeba tahadhari kila watokapo majumbani alfajiri pia warejeapo majumbani kwao muda wa usiku.

Nasema hivi kwa maana ya kuwa wauaji lazima watakuwa na cheni kubwa. Siamini kama watu wawili au 3 wanaweza kufanya matukio hayo eneo lote hili Nyegezi, Mokolani, mpaka Buhongwa.

Kwahiyo tahadhari ni muhimu.

Mwisho tuwa ombee Familia na ndugu wanao kwenda ku safiri kwa ajili ya kupeleka Mwili wa bwana Mallya kwenda kule mkoani Kilimanjaro kwa maziko.

Mwenyezi MUNGU awatangulie mfike salama na mrudi sakama Amina. R I P. Agapiti Malya.

13328523561fc815b318d577b036e139.jpg
20af99512c64cdc975e0e5ba37cf1fa9.jpg
3d16770178b044dbea93d681fe75e279.jpg
ee4ece1437a47e793d788343052b7488.jpg
72c16a1cb14bcf32e649cf38e38a4e45.jpg
Jamani mama Juli amebaki mjane...lol
 
Back
Top Bottom