Recent content by Mwanaweja

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Mtu mwenye nyimbo za kwa Mungu hakuna mzee Shinyanga baadaye iliitwa kambarage na hitaji nyimbo kabla ya kubadilishwa. na pia kuna nyimbo kama Daniel aliona maandishi yaliyoandikwa ukutani, yaliyoandikwa wapi maandishi menemene tekeli na Peresi ufalme wenu umekwisha, kweli Daniel aposikia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Timothy Ng'winamila?

    Ina sikitisha sana kumpoteza ndugu yetu kwenye ulingo wa nyimbo za injili. nina kanda moja hapa huwa inanifikisha mbali sana. " NI HERI UAMINI YA KWAMBA MUNGU YUPO NA USIMKUTE KULIKO KUTOKUAMINI NA UKAMKUTA". HATA NYIMBO ZAKE KWA YEYOTE ALIYE NAZO ATUTUPIE KWENYE MTANDAO INAWEZA KUTUFARIJI SANA
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kiburi cha hawa vigogo wa ESCROW

    busara za mtu hazipimwi kwa elimu na akili na malezi ya wazazi ni bora zaidi ya elimu ya darasani. Kwa kifupi hawa waheshimiwa wamepungukiwa kitu kikubwa sana ndio maana wanajibu majibu ya dharau kiasi kama hiki. Ila waelewe dunia ni pana kunasiku inakuja watajutia kauli zao na matendo yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Mulugo, Utayaona ya Nyalandu

    makubwa hawa wabunge wetu majanga yaani Historia na Jiografia wako kushoto kabisa nazo
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mungu alitoa na ametwa jina la bwana libarikiwe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    hahahaha nchi yetu unatunukiwa na baraza la chuo? hii kali kikubwa wenzetu wanapoint za kutokana na research na kufanya publication za paper mbalimbali kwenye journal nzuri zinazofahamika kimataifa nasi vingine
  7. M

    JamiiForums Tanzania POLEPOLE: Vijana jiandikisheni kupiga kura ya hapana katiba mpya

    Tukataeni ujima wa ccm sisi vijana tulio na nguvu tukisimama hakika katiba ya kihuni haiwezi kupita
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    move move tena ya kichina
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM na siasa za marehemu

    hii nchi inahitaji maombi nje ya hapo ni janga kwa wananchi wake
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Dunia hii inahitaji maombezi nje ya hapo tutaropoka sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Huyu jamaa ni mchumia umbo inasikitisha sana kusikia maneno ya karaha yanayotoka kwa mtu mzima kama sita
  12. M

    JamiiForums Tanzania Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

    kanchi haka kana mambo mengi sana tusubiri tutatokea wapi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    CCM hawajamchangachua? maana ukionekana ni virus kwao wanakumiliki kisaikolojia, kiuchumi, kimaisha, n.k
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 5 Agosti 2014, Mjadala wa Bunge Maalum la Katiba

    Katiba haiwezi kuwa ya kujadili kifamilia, kirafi, kishikaji, n.k. kwa kifupi hatuwezi pata katiba tuliyokuwa tunaitarajia kwa njia hii
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

    hili halikwepeki hakuna siri chini ya hii mbingu
Back
Top Bottom