CCM na siasa za marehemu

CCM na siasa za marehemu

No thank you! Big No! Ukweli hauna budi kusemwa kama ulivyo.

Hapo kwenye red: haijawahi kutokea!
Hapo kwenye underline: ni kweli
Hapo kwenye green: hayo maneno hayakuwahi kutamkwa na anayetajwa kwenye red!

Therefore, logically, F AND T AND F = F; maelezo yako yote yamekuwa uwongo hivyo yamepoteza maana.


Ukweli upi wewe umeusema?! Kama historia imepotoshwa au kupindishwa basi sahihisha na sio kuleta herufi za no na yes na ujuzi wa rangi,it doesn't help!!!
 
Ukweli upi wewe umeusema?! Kama historia imepotoshwa au kupindishwa basi sahihisha na sio kuleta herufi za no na yes na ujuzi wa rangi,it doesn't help!!!

Hivi mimi na wewe nani mpotoshoji? Jenerali Imran Kombe hakuwahi, hata kwa kukaimu, kuwa Katibu Mkuu wa CCM! Sijui uzushi wako umeutoa wapi? Maneno "CCM imepoteza dira" ni kweli yaliwahi kutamkwa na Katibu Mkuu wa CCM aliyekuwa akiitwa Horace Kolimba na alifariki miezi michache baada ya kuwekwa kiti moto na wenye chama lakini sio kwa kuuwawa na Polisi au kwa risasi.
 
Asalaam za siku nyingi wana JF.

Nilipotea kwa muda mrefu humu jamvini hii ni kutokana na shughuli za ujenzi wa taifa.

Leo napenda kuzungumzia kwa kifupi kuhusu mwenendo wa siasa zetu za hapa bongo. Hatua tuliyofikia kisiasa ni mbaya sana hatuna tofauti na wanyama, tunafanya siasa za uhasama, siasa za kulipiza kisasi, siasa za kudharau utu wetu wenyewe, imefikia hatua ya kuwatumia marehemu waliotangulia mbele za haki.

Ukweli ulio wazi, baadhi ya ndugu zetu wa CCM wamejivua utu hawawaheshimu ndugu zao waliotangulia kana kwamba wao hawaelekei huko. Juzi nilimsikia kada mmoja wa chama kipya cha ACT kupitia Star TV akisema, "ana uhakika Chacha Wangwe RIP aliuawa na Chadema", nikajiuliza polisi wako wapi na yeye alikuwa wapi kupeleka ushahidi huo mahakamani wakati wa kesi hadi kupelekea Deusi Mallya kufungwa kwa zaidi ya miaka mitatu. Leo tena nimesikia Antony Diallo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza anataka kumtumia Mallya huyo huyo aliyefungwa kwa kesi ile ile kuendelea kumtumia marehemu Wangwe.

Hizi siasa za kutumia marehemu zimetoka wapi? nani mwanzilishi wake? na zinatupeleka wapi.

Naomba kuwaasa wana CCM wanapoanza kufukua makaburi wasije kujilaumu hapo baadaye wakati makaburi ya ndugu zao yatapoanza kufufuliwa.

Niwakumbushe tu kama CCM wako tayari kutuambia nani alisababisha kifo cha Kolimba, nani alimuua Sokoine, kina nani wako nyuma ya kifo cha Imran Kombe. Kwani Karume Sr. aliuawa na nani? Tukiachilia mbali vifo vyenye utata kama vya (RIP) Malima, Prof Shaba, Dr. Mvungi, Prof. Harub Othman, Prof. Chachage, na wengine wengi, CCM wanaweza kututhibitishia baba wa taifa alikufa tarehe ngapi? Ni maswali mengi ya kujiuliza lakini ukiangalia kwa undani hayana msingi wowote. Tuache kutonesha vidonda.

CCM kama chama au mtu yeyote anayefanya siasa za marehemu aache mara moja kuwatumia marehemu ndugu zetu wapendwa kwenye siasa zao chafu. Kama kuna mtu anapenda sana kutumia marehemu basi awatumie wazazi wake au ndugu zake waliotangulia mbele ya haki. Inasikitisha.

Naomba kuwasilisha.
Hii mijibwa imejiandaa kutuingiza kwenye genocide!! kuliko yaachie madaraka!! Tuone watu wakiamua kumwaga ukweli kwa mauaji ya TISS na mateso ya mmoja mmoja tukiazia kwa Karume sr! itakuwaje. Je ndugu wakiamka kutaka kulipa kisasi nasi tukiwaunga mkono watatoka????? waache upumbavu kama laana imeshawafika wafe wenyewe wasituhusishe na kichaa chao kinachodai damu au wehu unaotokana na ulevi wa damu walizomwaga wasituletee!! Nyie majambazi nendeni kimya kimya!!!!!!!!!!!!!Go to Helllllllllllllllllllllll!!!!!!!!!!!!
 
Sio kila mwanasiasa anayetangulia mbele za haki ameuwawa. Ila ile ya Chacha, CHADEMA hawawezi kuikwepa.
 
Hivi mimi na wewe nani mpotoshoji? Jenerali Imran Kombe hakuwahi, hata kwa kukaimu, kuwa Katibu Mkuu wa CCM! Sijui uzushi wako umeutoa wapi? Maneno "CCM imepoteza dira" ni kweli yaliwahi kutamkwa na Katibu Mkuu wa CCM aliyekuwa akiitwa Horace Kolimba na alifariki miezi michache baada ya kuwekwa kiti moto na wenye chama lakini sio kwa kuuwawa na Polisi au kwa risasi.


Asante kwa taarifa muafaka,hicho ndio nilikua nakutaka Mkuu,kumkurupua aliyejificha sometimes unapiga pembeni!!
 
Hivi mimi na wewe nani mpotoshoji? Jenerali Imran Kombe hakuwahi, hata kwa kukaimu, kuwa Katibu Mkuu wa CCM! Sijui uzushi wako umeutoa wapi? Maneno "CCM imepoteza dira" ni kweli yaliwahi kutamkwa na Katibu Mkuu wa CCM aliyekuwa akiitwa Horace Kolimba na alifariki miezi michache baada ya kuwekwa kiti moto na wenye chama lakini sio kwa kuuwawa na Polisi au kwa risasi.
Horace Kolimba alifariki ghafla saa chache baada ya kuhojiwa na NEC ya CCM kuhusu matamshi yake kuwa "CCM imekosa dira"
9k=
 
Hakuna unachojibu zaidi ya nyatu nyatu,kama ufahamu wako mkubwa ndio huu tangu nikiwa mdogo basi sina cha kukusaidia kwani kuna misamiati mingi inayoakisi watu na matukio,kubwa jinga ukiwemo!!

The last bars I think ni meseji kwa Mchange anayechangwa kama karata na kuwekwa mezani watu wacheze,bahati mbaya sio kisu wala kopa,ni garasa la mavi!!!
SASA WEWE dogo jinga mbona hujaweka details za hao waliouwawa zaidi ya hadithi za vijiwe vys bavicha?
 
Horace Kolimba alifariki ghafla saa chache baada ya kuhojiwa na NEC ya CCM kuhusu matamshi yake kuwa "CCM imekosa dira"
9k=
Na bila soni wakatuambia alikuwa anasumbuliwa na kifua kikuu, eti ndiyo ugonjwa uliotoa uhai wake.
 
We unaamini ugoro huo?
Prof Chachage na Prof H Othman died of natural cause, Prof Shaba yuko Marekani kwa mwanawe.
Tatizo you people can be led by the nose to believe anything.

Can you explain kifo cha Kanali Andrew Shija (alikuwa mjumbe kijana kabisa wa kamati kuu ya CCM lakini akachagua kurudi jeshini badala ya kubaki na post ya chama baada ya ujio kwa vyama vingi)? Au NAE yuko marekani?
 
List of people executed by the Tudors

This is a list of prominent people executed by the state during the reign of the Tudors. It is not exhaustive.

In the reign of Henry VIII (1509-1547)


Edmund Dudley, 1510.
Sir Richard Empson, 1510.
Edmund de la Pole, 6th Earl of Suffolk, 1513
Edward Stafford, 3rd Duke of Buckingham, 1521
John Fisher, Bishop of Rochester, 1535
Sir Thomas More, 1535
George Boleyn, Viscount Rochford, 1536
Henry Norris, 1536W
William Brereton 1536Mark Smeaton, 1536
Francis Weston, 1536Anne Boleyn, 1536
Robert Aske, 1537.
Leader of Pilgrimage of GraceFrancis Bigod, 1537.
Leader of Bigod's RebellionThomas Fitzgerald,
10th Earl of Kildare and his five uncles 1537
Edward Neville, 1538Henry Pole, 1st Baron Montagu, 1539H
Henry Courtenay, Marquess of Exeter, 1539.
Thomas Cromwell, 1540
Walter Hungerford, 1540
Margaret Pole, Countess of Salisbury, 1541.
Francis Dereham, 1541.
Leonard Grey, 1541
Thomas Culpeper, 1541.
Catherine Howard, 1542.
Jane Boleyn, 1542.
Anne Askew, 1546
Henry Howard, Earl of Surrey, 1547.st of people executed by the Tudors(nyakati za mfalme Henry VIII)
Source: Wikipedia

.
Kama wewe si mfuatiliaji wa mambo ya siasa unaweza kuona hivyo vifo ni vya kawaida.

CCM regime si chama cha kwanza kuua mahasimu wake hasa inapoona maslahi yake au ya watawala yako hatarini, kama unakumbuka hata Robert Ouko alifanywa hivyo hivyo na serikali ya Kenya.
Mkuu you are being horribly naive!!
Siungi mkono mauaji ya kisiasa lakini hilo limekuwa likifsnyika since time immemorial.
Challenge the powers that be at your own risk, dead heroes are of no use to any one
King Henry VIII alichinja wapinzani wake zaidi ya miaka 500 iliyopita.

Tena hawa wenzetu walituwekea na kumbukumbu.
Mkuu soma historia yako vizuri na ujitambue.
 
sio kila mwanasiasa anayetangulia mbele za haki ameuwawa. Ila ile ya chacha, chadema hawawezi kuikwepa.

sheria ya ndoa za jinsia moja ikiletwa hapa tanzania wewe lazima utawekwa kimada tu.polisi walishindwa nini kuwakamata wauaji wa wangwe?
 
huyu mhuni mchange asifikiri anaweza kuishi kwa kutengeneza uongo kama huo kwanza ni hatari kwa maisha yake ingawa kwa usaliti huu hayana maana sana,atafute shughuri ya kufanya badala ya kusubiri kujiuza ili kujikimu,haiingii akilini kwamba cdm waliwavalisha watu sare za polisi na kuwapatia silaha,halafu uhalifu huo ukafanyika mbele ya RPC huyu kijana ni mjinga sana, hata hivyo naona ccm wameishiwa mikakati kabisa kama wanakuja na ujinga kama huu,lbd kitakacho waokoa ni wizi wa kura na ujinga wa watu wetu.
 
hii nchi inahitaji maombi nje ya hapo ni janga kwa wananchi wake
 
Kama ni suala la kuua au kuuwawa mbona linatoka mbali.
Unamfahamu Mwamwindi?
Naye aliua!!
Ushenzi mkubwa zaidi ni kufikiri wote wanaouwawa ni kwa sababu za kisiasa.
Kwa taarifa yako Prof Chachage namfahamu vizuri sana pengine toka wakati wewe unatoka kamasi.

Ukikubali kurubuniwa na kurubunika ni kama mwanamke aliyejirahisi, the rest ni uroda tu.

Mnyakyusa gani unakunya kwa kutumia mdomo?
 
sheria ya ndoa za jinsia moja ikiletwa hapa tanzania wewe lazima utawekwa kimada tu.polisi walishindwa nini kuwakamata wauaji wa wangwe?

Ha ha ha haaaaaa... mkuu nimecheka mpaka!! Anazidiwa akili na huyo dogo!!?
 

Attachments

  • 1408472299774.jpg
    1408472299774.jpg
    42.8 KB · Views: 85
Mnyakyusa gani unakunya kwa kutumia mdomo?

Tatizo la watu wasio na akili sana ni kutoihusisha brsin kwenye reasoning
Hapa hskuna Unyskyusa wala Uzaramo jibu nondo kama una akili za kukutosha.
 
Katika moja za panel pale UDSM nikiwa mwaka wa pili,prof.H.Othuman alithibitisha pasipo shaka kwamba Karume sr aliuawa kwa baraka zote za Mwalimu.

Alijenga hoja za kimazingira ambazo zisingeweza kumwacha mwl. msafi.

CCM hawauwi wanasiasa tu, wanauwa hata VITOTO MALAIKA VYENYE ULEMAVU WA NGOZI-albino.
 
Back
Top Bottom