Recent content by MWANAWAVITTO

  1. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania KKKT yasitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka ili kuepuka maambukizi ya Covid-19

    Hivi kile cheti cha kushinda korona bado kinafanya kazi
  2. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Barua ya Salaam za wazi kwa Baba Askofu Bagonza

    Wasomi wameweka taaluma mfukoni
  3. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Barua ya Salaam za wazi kwa Baba Askofu Bagonza

    Asante Sana kwa kumshauri vema
  4. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Barua ya Salaam za wazi kwa Baba Askofu Bagonza

    Ingekuwa vizuri kama ungeonyesha hiyo siasa niliyoiandika
  5. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Barua ya Salaam za wazi kwa Baba Askofu Bagonza

    Hiyo sii kweli
  6. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Barua ya Salaam za wazi kwa Baba Askofu Bagonza

    Acha kumfananisha Baba Askofu na wanasiasa
  7. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Barua ya Salaam za wazi kwa Baba Askofu Bagonza

    Baba Askofu Shikamoo na Heri ya Mwaka mpya 2021, Nilitamani Sana nikushike mkono Kheri ili nikueleze haya kwa ukaribu, tafadhali pokea salamu zangu ee mtheolojia na Baba mpendwa ; Nasikia yule Mkoloni aliyefukuzwa na Kibanga amerudi na ameji- camouflage na atandika waumini wako viboko...
  8. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

    Bring back Ben Rabiu Saanane
  9. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Tuambie upo nchi gani muda huu na hali ipoje huko

    Nipo sayari ya mars hapa
  10. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania Arusha ni Geneva ya Afrika kwa nini tugeuzwe Calfonia?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya chama kikongwe Afrika, chama tawala ccm mheshimiwa John Magufuli akiwa Arusha katika mkutano wake wa kampeni jijini humo alisema anataka kuifanya Arusha kuwa kama jimbo la Calfonia Ikumbukwe kuwa jiji la Arusha lilitangazwa kuwa ni Geneva ya Afrika miaka kadhaa...
  11. MWANAWAVITTO

    JamiiForums Tanzania GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa, (a) Je, Serikali yako ipo tayari kuanzisha uchunguzi wa vifo tatanishi, utekwaji nyara na kupotea kwa watu mfano wa Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo? (b) Je, serikali yako ipo tayari kuwachukulia hatua watendaji wote wanaohusika na kuwabambikia watu kesi?
Back
Top Bottom