Recent content by Mwanawatu

  1. M

    Bungeni: Zitto aigalagaza Serikali, Spika ashindilia msumari wa moto!

    Kuna RETCO, HOSCO, STAMICO (Ipo kama haipo vile).
  2. M

    Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

    Tuna tatizo hapa!! Je mheshimiwa hajaguswa na hali ilivyo sasa ukizingatia kuwa, ana ndugu, jamaa, na marafiki (hata wapiga kura wake) ambao kwetu huduma tuzipatazo hapo MNH ni za umuhimu wa hali ya juu kiasi kwamba hii chelea chelea inatupotezea maisha ya nguvukazi yetu!!Kipi chahitaji busara...
  3. M

    Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

    Hata kama anajiona kuwa yeye si wa daraja la kutibiwa katika hospitali zetu hapa TZ, Je hana ndugu wanaomhusu ambao wanatibiwa hapa TZ?
  4. M

    Kumekucha Arumeru

    Ngoja tusubiri kipenga kipulizwe tuone mchezo utakwendaje. Peoples' Power Versus "CCM"
  5. M

    Je Tido alianzisha safari ya kifo cha TBC?

    Lugha inayotumiwa na T. Muganyizi kama ingekuwa inaeleweka na wengi, ingetufaa sana katika kuchangia/kuelewa mchango wake. Tafadhali tusaidie katika hili.
  6. M

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Good Idea kama kweli hakufukuzwa CDM!KFLL should then be double careful in what he talk. Plain Talking at times has its own costs. Be bold and stand firm.
  7. M

    Kikwete, Unatuchanganya bwana!

    There is no seriousness at all. Let him do away with his tenure and find another strong, committed and responsible candidate who will take this nation to the next level. For over six years in power the living standard of majority Tanzanians is still in limbo, and he is neither bothered for that...
Back
Top Bottom