Wakuu,
Nilitamani kusikia Sera na utekelezaji wake zikinadiwa kwenye majukwaa, mgombea kuelezea kwanini tuko hapa kimaendeleo na kubainisha vilivyotufikisha hapa na namna ya kuvitatua, pia kuelezea njia pamoja na mbinu zitakazo tumika kutekeleza ahadi zake. Hadi sasa sijasikia hivyo vikitamalaki...