Recent content by mwanaumemashine

  1. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Mhimili wa Mahakama uhamie Dodoma

    Bandari ya hindi nayo ihamie Dodoma maana ndo makao makuu ya nchi.
  2. mwanaumemashine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Andika kitu kinachokufilisi pesa yako lakini aukiachi!

    Petrol na huyu bidada wananifilisi.
  3. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa watumishi wa umma wasababisha kifo. Aliyesimamishwa kazi ajinyonga

    Ikitokea nimetumbuliwa sitachagua kazi ya kufanya. Zege, bodaboda, ntafanya.
  4. mwanaumemashine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Mi nanyonya kila siku. Ila madhara yake meno kusagika
  5. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

    Siku ukigongwa ww utakuja hapa kueleza kama ni kiziwi
  6. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

    Anza na castle lite
  7. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Ipi Gari bora kati ya T Harrier,Escudo na RaV4 or RAVj?

    Chukua mkwaju Harrier tako la nyani
  8. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Trump akamata magari 1000 bandarini

    Hizi nyuzi zina ukakasi
  9. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa police ambaye ameondoka na sifa zake nzuri na za kupendeza

    Wabongo roho mbaya sana. Unaongea hujui lolote
  10. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huyu waziri ndo alichukua posho za wataalam wa Tanesco kule kusini.
  11. mwanaumemashine

    JamiiForums Tanzania Ninatoa kiasi cha pesa kuanzia 35,000 mpaka 50,000

    Rekebisha heading yako
Back
Top Bottom