Recent content by Mwanasazi

  1. M

    Nina uraibu wa wanawake age go

    Sidhani kama ni Addiction Hata mi Napenda saana wanawake wa hivyo yaani 40+ wenye Nyama laini ambazo zimeanza kushuka haswa nyuma ya mkono kwa juu kati ya kiwiko na Bega (Biceps Brachii) na kwenye mgongo. Naamini hii ni ladha ambayo inapendwa na wanaume wengi (Kama wengine Wanavyopenda...
  2. M

    Mhaini mrembo! Ila, Tanzania imeshindikanika!!

    Wana wakomaza vijana tu ili baadae wawe wagumu zaidi,
  3. M

    Utajiri kwa nguvu za giza -occultism(kwanini masharti huwa magumu sana)

    Kweli hizo Mambo zipo, Kuna kisa kimoja niliwahi kusikia kuhusu kupata utajiri, kinafanana na hicho chako cha nyoka. Kuna jamaa kutoka Malawi wanaishi Dar, yeye na mke wake walifanya uchawi Hivyo basi bi balaa wao walipewa sharti la kufuga nyoka mkubwa lakini chakula chake ni ute wa **** ya...
  4. M

    Naomba kujua maana ya kuota upo kwenye chumba cha mtihani

    Hizi ndoto nimeziota saana na ni kweli nikiota nakula msoto wa maana mpaka imani inanishinda. Nataka kufanya lolote yaani hata kulishika buku haiwezekani, kwa kuongezea nakimbizwa na wanyama wakali halaf Napaaa, Na pia naota vita vita au polisi wanakuja kunikamata zote hizo nikiota ni msoto...
  5. M

    Safari hii ni zamu ya Zanzibar: Wameufyata

    Wakiamua wanamchagua wao, mwaka 1985 walimchagua wao mbele ya JK Nyerere.
  6. M

    Safari hii ni zamu ya Zanzibar: Wameufyata

    Washatengenezwa kuwa silent kwa hiyo hutosikiwa wana complain suala la zamu yao sasa hv. Chezeaa watu na strategic zao za kuingia ikulu,!! Kwa kawaida siku za sikukuu watu wanasheherekea makwao, lakini pasaka ilisheherekewa znz
  7. M

    Huyu anaweza kuingia dakika za majeruhi na akaibuka kidedea ndani ya CCM

    Kwani utamaduni uliowekwa ni wa kupokezana muislamu na mkristo !!! au ni wa ubara na uzanzibari !!!
  8. M

    nani mwenye mchango mkubwa kitaifa kati ya prof issa shivji vs bakhressa

    Kila mtu ana umuhimu wake kwa nyanja yake kwa hiyo sioni sababu ya kuwafananisha au kuwalinganisha.
  9. M

    Tunahitaji mwanasheria kutusaidia hili

    We vp ww, sasa unategemea hiyo kesi ya mleta uzi itapelekwa ICC ? fikiria baba
  10. M

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Uzuri wa sehemu, mtu au kitu unategemea maono, maslahi, mapendekezo na mahitaji yako, ushawishi unachukua nafasi ndogo sana ili uone uzuri ukilinganisha na niliyoyataja hapo juu, Umeleta uzi huu kama vile unahitaji watu wakushawishi ili uuone uzuri wa mwanza au arusha, Kila mtu hapa atalisifia...
  11. M

    Tunahitaji mwanasheria kutusaidia hili

    Ipo case law, ime set precedent kwamba malipo ya wakili yanayolpwa baada ya kesi na kutegemea maamuzi ya kesi hayakubaliki katika sheria zetu za bongo, kesi hiyo ni ya mkono dhidi ya mteja wake mmoja(sikumbuki jina) na pia citation yake sikumbuki uulizia utaipata.
  12. M

    Ikulu yajitetea Rais kuchelewa maamuzi juu ya Kiporo Muhongo

    Na kama kweli uchunguzi haujakamilika hao wanaopelekwa mahakamani, wanapelekwa kwa uchunguzi gani...
  13. M

    Msaada kuhusu probation

    Kipindi cha probation ni miezi 3 lakini kinaweza kurudiwa mara 4 ikitokea mwajiri hajaridhika na utendaji kazi wa mwajiriwa, yaani atamuongezea muda mara ya kwanza, ikitokea hajaridhika tena atamuongezea mara ya pili, hivyo hivyo mpaka mara 4 yaani mwezi wa 12 toka siku ya kuanza kazi. Katika...
  14. M

    Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

    Kwani tumezitengeneza sisi watanzania, km ni airbus au boieng au nyingine bila shaka watakuwa wameweka.
Back
Top Bottom