Recent content by MwanaSaikolojia

  1. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Siri 5 ambazo wanazijua matajiri tu, masikini hawazijui

    success is not a destination, it is a journey.
  2. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

    sio kweli, nina wasi wasi na hizi data
  3. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Nimeokota gari jipya Noah new model

    Wareruka = wameruka Uhani = uwani Karibu tanzania mkuu.
  4. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uhusiano wa transfer ya chuo na mkopo

    Poa kka asante.. Ntaenda kesho panapo majaaliwa.. Hopefully ntapata in shaa Allah.
  5. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Anaesoma Sjuit -songea

    Nlikua nataka kujua kama kuna hostel za wanaume hapo chuo
  6. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uhusiano wa transfer ya chuo na mkopo

    Thanks .. Kipo wapi mkuu?? Mie nipo dar
  7. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Anaesoma Sjuit -songea

    Salaam.. Kama kuna mtu anaesoma chuo hiki cha st. Joseph university of information and technology songea basi naomba ani pm au accoment hapa chini. Natanguliza shukran
  8. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uhusiano wa transfer ya chuo na mkopo

    Mkuu umepataje hiyo transfer? Mbona medicine siioni kwenye list ya transfer.. Help plz
  9. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mabasi yaendayo Songea

    Thanks ..naenda ku book tiket Super feo .
  10. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mabasi yaendayo Songea

    Habari zenu wakuu. Nilikua naomba mnifahamishe kwa anayejua mabasi gani mazuri yanaoenda Songea. Tips: -Yawe classic -Safety . Natanguliza shukrani.
  11. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Pesa ya kuhonga kama si kutunza ninayo! Tatizo, nina domo zege! Nisaidieni

    Nipe laki moja nikupe ushaur fasta upate demu
  12. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania msaada: Aliesoma SUZA

    Ina maana jf imekuwa banned SUZA ama ndo vp???? ...
  13. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Duuuh.. Hadi ngeli jamany.
  14. MwanaSaikolojia

    JamiiForums Tanzania msaada: Aliesoma SUZA

    Habari zenu wakuu.. Kwa yeyote yule ambae kasoma State university of Zanzibar (SUZA) Naomba ani pm au accoment hapa chini. Kuna maswali nataka kuuliza. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom