Habari za asubuhi DAWASCO. Mimi ni mkazi wa Kinondoni Kata ya Wazo, siku za karibuni tumepata Neema ya maji katika maeneo ya Salasala. Hata hivyo waunganishaji wa mabomba ya maji hawakuunganisha vizuri kiasi cha kufanya maji kuvuja na kusambaa barabara na kuisababishia serikali hasara...
Startimes tatizo la king'amuzi changu hakioneshi list ya channels kila nikijaribu kusearch automatically.
Muda mrefu nilikuwa sikitumii na nilipotaka kutumia ndio nikakutana na tatizo hilo. Naishi Wilaya ya Kinondoni Kata ya Wazo Mtaa wa Kilimahewa. Namba ni 02035349729.
Naomba utatuzi wa...
Ndugu wana JF habari za asubuhi,
Napenda kuelezea kwa kifupi jinsi ambavyo nimekuwa nikifanya maamuzi katika chaguzi mbalimbali katika nchi yetu. Nikianza na mwaka 1995 mwaka ambao ulikuwa ni mwaka wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi urudi tena maamuzi yangu niliyofanya ilikuwa ni kumchagua...
Mkuu ni vizuri ungeweka list zote mbili yaani ile ya watu waliokuwa shortlisted na ile ya walioajiriwa ili sote pamoja na vyombo vinavyohusika tujue yupi ni yupi.
Kufuatia marekebisho ya sheria inayohusu mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu na hivyo kuwahusisha hata watajwa hapo juu. Kwa anajua,je, wameshaanza kunufaika na marekebisho hayo au bado utaratibu haujawekwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.