Watanzania wenzangu, misingi tuliyojijengea inatuwezesha kuishi kwa kuheshimiana na kuishi pamoja bila kujali mtu anatoka kabila, dini au ukanda gani. Hoja yoyote inayoabudu maeneo haya matatu niliyotaja hapa haina nafasi katika nchi yetu, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu...
Tuchangie kwa kutoa hoja na siyo maneno machafu. Mchangiaji mstaarabu utamtambua kwa lugha anayotumia. Sisi wote ni watanzania ambao tumeishi kwa amani kwa muda mrefu sasa. Ustaarabu wetu utadumisha amani yetu. Tumchague rais atakayetuletea mabadiliko chanya.
Tuchangie kwa kutoa hoja na siyo maneno machafu. Mchangiaji mstaarabu utamtambua kwa lugha anayotumia. Sisi wote ni watanzania ambao tumeishi kwa amani kwa muda mrefu sasa. Ustaarabu wetu utadumisha amani yetu. Tumchague rais atakayetuletea mabadiliko chanya.
Inawezekana kwamba mwanzoni Chadema walikuwa wanasisitiza kusema kwamba Lowassa ni fisadi ili CCM watoe ushahidi na kumchukulia hatua baada ya ile ripoti ya Mwakyembe. Lakini kwa miaka nane baada ya kujiuzulu kwake hakuna mtu wa CCM aliyemgusa. Sasa uwepo wa Lowassa katika Chadema unaifanya CCM...
Kama nimesikiliza vizuri maelezo ya Mh. Nchimbi kwenye video hapo juu: Kisheria ilikuwa inaruhusiwa kujenga gorofa nane tu katika eneo analozungumzia. Je, ilikuwaje Magufuli akatoa kibali cha kujenga ghorofa zaidi na zikajengwa 26 ?
Kupiga kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18. Lakini wengi hawatumii haki hiyo inavyotakiwa wakati wanajua kwamba ni njia ya kukuza demokrasia.
Napendekeza kuwa suala la ulazima wa kupiga kura lifikiriwe na Bunge na ikiwezekana liwekwe kwenye Katiba mpya ili kila...
Kama tunataka kujenga muungano imara, tunapaswa kuwa na rais mmoja tu, yaani yule wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Halafu kila upande wa muungano uongozwe na mawaziri wakuu. Mmoja aunde serikali ya Tanganyika na mwingine aunde serikali ya Zanzibar. Viongozi hawa watatu (yaani rais na mawaziri...
Kama kweli uchumi wa Tanzania umeongezeka kama inavyodaiwa, basi serikali inapaswa kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha kwamba watanzania wote wanafaidika. Ili watu wote waweze kuona unafuu wa maisha, inabidi serikali ianze kwa kutoa elimu na matibabu ya bure nchi nzima.
Ieleweke kwamba nchi...
Unajua Mamakibunju: biashara ni mazungumzo na maelewano. Fika ujionee mwenyewe na tutakubaliana vizuri kabisa. Kwa kawaida mteja ni mfalme na halazimishwi. Nakutakia siku njema. Nategemea utanipigia au unipe namba yako nikutafute.
Viwanja hivi havina mgogoro wowote. Uko huru kutembelea eneo na hata kufanya uchunguzi kwa majirani kabla ya kununua.
Napenda kuwa wazi ili usipate matatizo. Mimi ni mtanzania mwenzako ndugu yangu.
Nakutakia jumapili njema.
Habari za leo.
Kinyerezi panafaa kama shamba na pia kama kiwanja. Kuna viwanja 14 na kama utachukua vyote unaweza kujenga na kulima au kufuga. Unaweza kutembelea eneo hilo kujionea mwenyewe. Wasiliana na Oswald kwa namba 0767342632 au 0784342632. Nakutakia jumapili njema.
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.