kuna heka mbili zinauza zipo Maswa-mwashegeshi bei TZS 250,000 kwa hekaNatafuta kiwanja heka moja kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi na kuweka mifugo pia.
kuna heka mbili zinauza zipo maswa-mwashegeshi bei tzs 250,000 kwa heka
pia kunaheka 1 na robo inauzwa laki moja tu ipo mpanda kwa mzee mazwi
Asante mzee natafuta maeneo ya Dar es Salaam
Afu DSM ataweka wapi mifugo, mangi huku sio nyumban. Kibaha panalipa zaidi kama unataka kuweka mifugoSi mbaya ukisogea maeneo ya kibaha unaweza kupata kwa kujinafasi na watu wengi wanaishi huko ofisi zao zikiwa Posta. Dar heka moja jiandae mzee, au weka offer yako watu wajue wanakusaidia vipi. Sentesi bado iko kny mabano. Offer ngapi???????
natafuta kiwanja heka moja kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi na kuweka mifugo pia.
Mzee kifuru huko si ndo kwenye migogoro sana?weka vizuri hiloNunua kiwanja maeneo ya Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr
Viwanja vipo umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
Viwanja hivi havina mgogoro wowote. Uko huru kutembelea eneo na hata kufanya uchunguzi kwa majirani kabla ya kununua.Mzee kifuru huko si ndo kwenye migogoro sana?weka vizuri hilo
Si mbaya ukisogea maeneo ya kibaha unaweza kupata kwa kujinafasi na watu wengi wanaishi huko ofisi zao zikiwa Posta. Dar heka moja jiandae mzee, au weka offer yako watu wajue wanakusaidia vipi. Sentesi bado iko kny mabano. Offer ngapi???????