Viwanja vinauzwa, Dar es Salaam

mwanandugu

Member
Mar 23, 2014
44
9
Ukitaka kukunua viwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

Viwanja hivyo vipo katika maeneo yanayofaa kujenga nyumba za biashara au za kifamilia.
Bei ni makubaliano baada ya mazungumzo na mwenye kiwanja juu ya ukubwa wa eneo unalohitaji. Andaa tu michuzi ununue kulingana na mahitaji yako.
Mwananchi, au mtanzania yeyote anayehitaji habari au taarifa kuhusu viwanja hivyo asisite kuuliza au kutembelea maeneo hayo kwa uhuru kabisa.
Taarifa hii imetolewa tarehe 23/03/2014.
Ndugu Oswald Richard SH. wa Dar, Tanzania

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepiwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
Bei inaweza kupungua.

Ziada:
Mashamba yanauzwa Kisarawe.

Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
 
Ukitaka kununua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam.
wasiliana na ndugu Oswald Richard kwa simu namba :

Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald SHIRIMA kwa simu namba :

00255784342632 au +255767342632

E-mail : cosiastore@yahoo.fr

Viwanja vipo katika maeneo yanayofaa kujenga nyumba za biashara au za kifamilia.

Bei ni makubaliano baada ya mazungumzo na mwenye kiwanja juu ya ukubwa wa eneo unalohitaji. Andaa tu michuzi ununue kulingana na mahitaji yako.

Mwananchi, au mtanzania yeyote anayehitaji habari au taarifa kuhusu viwanja hivyo asisite kuuliza au kutembelea maeneo hayo kwa uhuru kabisa.

Taarifa hii imetolewa tarehe 23/03/2014.

Ndugu Oswald SHIRIMA, Dar, Tanzania

Rangi nyingi, mara BOLD, ila bila kuweka bei ni unnecessary!!

Hata umbali from main road, infrastructures e.t.c hujasema!!
 
1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepiwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
Ukitaka kukunua viwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

Viwanja hivyo vipo katika maeneo yanayofaa kujenga nyumba za biashara au za kifamilia.
Bei ni makubaliano baada ya mazungumzo na mwenye kiwanja juu ya ukubwa wa eneo unalohitaji. Andaa tu michuzi ununue kulingana na mahitaji yako.
Mwananchi, au mtanzania yeyote anayehitaji habari au taarifa kuhusu viwanja hivyo asisite kuuliza au kutembelea maeneo hayo kwa uhuru kabisa.
Taarifa hii imetolewa tarehe 23/03/2014.
Ndugu Oswald Richard SH. wa Dar, Tanzania

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepiwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
Bei inaweza kupungua.

Ziada:
Mashamba yanauzwa Kisarawe.

Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.

kama wteja ni wengi kuna haja gani ya kutangaza hapa si uwauzie? pia maeneo ya kwa msuguri kiwanja kwa bei ya 55m na 60m ni wizi mtupu. kwa bei hiyo unaweza kupata kiwanja kilichopimwa na chenye hati huko bweni nk. Funguka mkuu toa bei inayoeleweka
 
Biashara ni makubaliano. Fika ujionee mwenyewe na tutazungumza vizuri usiogope. Nakutakia siku njema.
 
hatutaki, nenda huko na viwanja vyako. mil. 55? si bora nipange tu nilipie kila mwezi 250, 000/= mwenge. saizi nina miaka 45 bado miaka 20 tu ya kuwa hapa duniani, kiwanja cha 55m cha nini? hapo sijaanza kujenga.dah, acheni wizi nyie watz
 
Mimi nataka ka plot ka 30 sq.m nijenge kakibanda kangu ka chumba kimoja...
 
hatutaki, nenda huko na viwanja vyako. mil. 55? si bora nipange tu nilipie kila mwezi 250, 000/= mwenge. saizi nina miaka 45 bado miaka 20 tu ya kuwa hapa duniani, kiwanja cha 55m cha nini? hapo sijaanza kujenga.dah, acheni wizi nyie watz
Hahaha, halafu usafiri wenyewe wa dhiki,kuodoka saa 10 kirudi saa 4 ucku. vibaka ndo usiseme. Bora kupanga mjini tu na kuinjoy life hii fupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom