Hahaha! Kweli kabisa ChatGPT imekuja kuongeza ladha kwenye mijadala ya JF.Hata kabla ya JF kulikuwa na magezeti na redio, Sasa makala zinakuwa na mpangilio mzuri, hoja zinapangwa kwa umakini na watu wanapata nondo za uhakika.
Sasa hivi siyo tu tunapiga porojo bali tunajenga hoja zenye mashiko...
Hahaha! Focus on the prize comrade. Ila mhhh kweli kabisa ChatGPT imekuja kuongeza ladha kwenye mijadala ya JF. Sasa makala zinakuwa na mpangilio mzuri, hoja zinapangwa kwa umakini na watu wanapata nondo za maana.
Sasa hivi siyo tu tunapiga porojo, bali tunajenga hoja zenye mashiko. Hii...
Bila shaka hili ni suala nyeti na majibu kama haya yanaonyesha ugumu wa kulikabili. Lakini swali linabaki pale pale: Je, utajiri wa ghafla wa baadhi ya watu, hususan wasanii na watu maarufu mitandaoni ni wa halali?
Ni kweli kuwa baadhi ya watu hawa wana uhusiano wa karibu na wenye mamlaka na...
Tanzania kama nchi nyingine nyingi inashuhudia ongezeko la wageni wenye historia za kifedha zenye utata hususan kutoka mataifa yanayokumbwa na sakata za utakatishaji fedha, uhalifu wa kimtandao na gangsterism. Sambamba na hilo kumekuwa na wimbi la watu maarufu mitandaoni na wasanii wanaoonyesha...
Hakuna taifa lililowahi kufikia maendeleo ya kweli kwa kuwa na viongozi chawa. Taifa lolote linalotegemea kujipendekeza badala ya utendaji linajenga utawala dhaifu, usio na uwajibikaji na hatimaye linadidimia katika dibwi la ufisadi na uzembe wa kiuongozi.
Katika mfumo huu mamlaka inahamia kwa...
Asante G4N.
Maoni yako yanatoa changamoto muhimu katika kuboresha mfumo wa utawala na ni muhimu kujenga mjadala wa kina kuhusu jinsi ya kuboresha mfumo wa kiutawala wa 🇹🇿 ili uwe wa kisasa, wa kiufanisi, wa haki, uwajibikaji, ukweli na uwazi.
Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
Serikali imesema imetumia zaidi ya Sh 900 milioni kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa kipindupindu nchi nzima kwani katika kipindi cha miezi tisa watanzania 21,634 waliambukizwa na ugonjwa huo na wananchi 338 wamefariki.
Mzozo kuhusu tume inayosimamia uchaguzi nchini Kenya IEBC umeendelea kutokota. Waandamanaji katika miji mbalimbali wameendeleza maandamano yao ya kila Jumatatu kushinikiza tume hiyo ivunjwe na iundwe upya, kama upinzani unavyosisitiza.
Mapema Jumatatu mahakama kuu ya Nairobi ilikataa kupiga...
J. F. Kennedy was a very close friend of Nyerere. They have been in touch for a little while before making this State Visit in the summer of 1963. Tanganyika was changing and so was US. The two men are no longer with us but the friendship between our two people still remains stronger than ever.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.