Naombeni mniambie walau lugalo,ifakara au kibaha bado zipo wazi nafasi kwani nahitaji kumpeleka hata uuguzi kwani kukaa home nako sio vizuri kwa mtoto wakike |tafadhali madaktari,wauguzi wafanyakazi wa kawaida,wanajeshi na wengineo wanaofahamu kama bado nafasi zipo wanijuze.
Naombeni mniambie walau Lugalo, Ifakara au Kibaha bado zipo wazi nafasi kwani nahitaji kumpeleka hata uuguzi kwani kukaa home nako sio vizuri kwa mtoto wakike .
Tafadhali madaktari, wauguzi wafanyakazi wa kawaida, wanajeshi na wengineo wanaofahamu kama bado nafasi zipo wanijuze nami napatikana...
Jamani nami pia nataka kumpeleka pale ndgu yangu nitafurahi kama nitapatiwa ufumbuzi kama bado fomu zinachukuliwa na mwisho wa kurudisha lini kwani nami nataka kumpeleka mdogo wangu certificate ya clinical officer|je pia nasikia akimaliza anaweza pata ajira ,vipi kuajiliwa jeshini inawezekana...
Jamani NAUZA laptop hp,ipo OK 40harddisk, memory card,battery inakaa &chaji masaa4,ram 250 ipo OK bei 270,000/=| pia NAUZA BLACKBERRY 9860 MPYA KABISA BEI 250,000/= MAONGEI YAPO KTK KILA BIASHARA NIPIGIE HAPA 0-657-740-797
Habari zenu wanajukwaa...
Nami ni mjasiriamali mwenzenu ninayefanya biashara mbalimbali hapa nchini kama vile agribusinesses,pia networking business pamoja na agricultural ila mnamo MWAKA jana mwezi dec nilifungua kampuni ya mikopo iliyokuwa ikijishughulisha na biashara hizo kwa kipindi kifupi...
Ee jamii forum nazidi kuipenda kwani vitu vyote vinavyoandikwa humu ni ghali kupatikana ktk mitandao mingine|kweli hii ni app no .1 Tanzania....
MBARIKIWE WOTE&TEAM NZIMA YA JAMII FORUM...
Mzuzu kiongozi natamani tuonane kwani hata mie nimemaliza chuo ngazi ya diploma nipo hapa mjini lakini nina shamba ekari 15 | naamini tunaweza kufanya kazi kiongozi basi tutafutane kupitia hapa +255 657 740 797
Mmhh hii kali kwani naamini walishawahi muhoji mmoja ktk east Africa tena kipindi cha salama (mkasi) ila hawa ni watanzania wenzetu,vijana walianzisha kama blog lkn ndio leo wanaona matunda kwani ndio mtandao namba moja bongo mamia ya watanzania yanaweka comments, jamii pia inaneemeka kwani nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.