huyu jamaa sijui anafanya kitu gani........ anajitafutia umaarufu tu hakuna anacho saidia jamii yake,,,,,,,,, sio lazima awe serekalini ndo ajenge uchumi wa watu wake kwanza hapo cuf amesaidiaje uchumi wa chama.........cz mtu huanzia kwake kwanza...........kijijini kwao wanatambua mchango wake...