CUF kuiga sawa, lakini hata hili la kushika kichwa? Mmetisha!

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Katika kile kinachooneka ni dalili zakuishiwa ubunifu na mbinu za kukabiliana na upinzania wa CDM,Cuf wamezidikujidhirisha kuwa wamefikia ukomo wa mbinu za kupambana kisiasa ,Mengi yameongewa sitaki kurudia.Yote ikiwa ni kupambana na CDM. Ebu tujikumbushe machache ambayo yalianzishwa na CDM then nao wakavuata.Copy n Paste.
  1. Operation Sangara nao Wakaja na Operesheni ....................
  2. M4C nao wamekuja na ................................
  3. Isharaka ya kuwazomea au kuwalaani mafisadi ....Kushika vichwa na kulia uwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiii nao wamefanya nini hapo chini?
DSCF1583.JPG Wafuasi wa CUF wakishika vichwa kuwazomea vyama vya upinzani ambavyo vinawapa vijana viroba ili wafanye fujo.hili ilikuwa katika viwanja vya levolosi katika mkutano wao.

Mtatiro na Wenzako
:
“Imagination is the beginning of creation. You imagine what you desire, you will what you imagine, and at last, you create what you will” – George Bernard Shaw

Naomba kuwasilisha Niwatakie siku njema.ukiona Manyoa ujue ameliwa Watani leo :poa
 
Hata hii V4c nayo haifiki mbali maana ni ya kinafiki na usaliti kwa watanganyika tunaotaka mabadiliko. si wenzetu tena ni wao na CCM chama gandamizi.
 
cuf ni chama cha watu wasio weza kufikiri sawa sawa!
Haiwezekani eti wanajazana jangwani kumsomea Lipumba risala za matatizo mbali mbali yaani kama yeye ndio mgeni rasmi na kiongozi wa serikali ili zitatue
Kisha yeye anakaribishwa hasaidii chochote, na yeye anataja tena matatizo!
Kama huo sio uwehu ni nini!
 
Hata hii V4c nayo haifiki mbali maana ni ya kinafiki na usaliti kwa watanganyika tunaotaka mabadiliko. si wenzetu tena ni wao na CCM chama gandamizi.

Mkuu hayo ndiyo madhara ya kucopy na kupaste hakuna kuhusisha ubongo hata kidogo
 
Katika kile kinachooneka ni dalili zakuishiwa ubunifu na mbinu za kukabiliana na upinzania wa CDM,Cuf wamezidikujidhirisha kuwa wamefikia ukomo wa mbinu za kupambana kisiasa ,Mengi yameongewa sitaki kurudia.Yote ikiwa ni kupambana na CDM. Ebu tujikumbushe machache ambayo yalianzishwa na CDM then nao wakavuata.Copy n Paste.
  1. Operation Sangara nao Wakaja na Operesheni ....................
  2. M4C nao wamekuja na ................................
  3. Isharaka ya kuwazomea au kuwalaani mafisadi ....Kushika vichwa na kulia uwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiii nao wamefanya nini hapo chini?
View attachment 66949Wafuasi wa CUF wakishika vichwa kuwazomea vyama vya upinzani ambavyo vinawapa vijana viroba ili wafanye fujo.hili ilikuwa katika viwanja vya levolosi katika mkutano wao.

Mtatiro na Wenzako
:
"Imagination is the beginning of creation. You imagine what you desire, you will what you imagine, and at last, you create what you will" – George Bernard Shaw

Naomba kuwasilisha Niwatakie siku njema.ukiona Manyoa ujue ameliwa Watani leo :poa

Hivi huyu ITATIRO alikuwa TAHLISO? Mwenyekiti wa TAHLISO wa sasa anagombea uenyekiti wa taifa UVCCM!!? TAHLISO ni shina la MAGAMBA? Huko CUF ni "MSHENGA" wa MAGAMBA? Tafakari
 
CUF ilishakufa kitambo mbona limebaki jina katika vitabu vya msajiri.

Ambacho wanashindwa kujua entry point yao ilikuwa mbaya mpaka leo wameshindwa kutambua dhana iliyoambatana na chama chao:nerd:
 
cuf ni chama cha watu wasio weza kufikiri sawa sawa!
Haiwezekani eti wanajazana jangwani kumsomea Lipumba risala za matatizo mbali mbali yaani kama yeye ndio mgeni rasmi na kiongozi wa serikali ili zitatue
Kisha yeye anakaribishwa hasaidii chochote, na yeye anataja tena matatizo!
Kama huo sio uwehu ni nini!

Dah,hii ni zaidi ya wehu wa kuvaa chupi kichwani...
 
Mkuu hebu nikumbushe siku ya mapokezi ya Lipumba pale airport Dar, Dr. Slaa alikuwepo kumpokea Prof. Lipumba kwa vishindo inawezekana Dr. Slaa huyohuyo ndiye aliyeratibu ujio wa CUF Arusha; siasa za bongo zimetawaliwa na viini macho. CUF na Chadema wote ni mabingwa wa maandamano sasa sijui mlaumiana kitu gani; CCM ni chama huru tutawakaribisha wapinzani wanaokubaliana na sera zetu za kumuendeleza mtanzania.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
cuf ni chama cha watu wasio weza kufikiri sawa sawa!
Haiwezekani eti wanajazana jangwani kumsomea Lipumba risala za matatizo mbali mbali yaani kama yeye ndio mgeni rasmi na kiongozi wa serikali ili zitatue
Kisha yeye anakaribishwa hasaidii chochote, na yeye anataja tena matatizo!
Kama huo sio uwehu ni nini!

Mpiganiahaki ur very rite mkuu hiki chama kimeaa kisultan na kimwinyi ukiwauliza bara wanawanachama wangapi na wapo mikoa gani then u can connect the dot. Lipumba anausaka uraisi kwa miaka 20 sasa na bado hajakata tamaa wakati Membership base yake bara ni less than 1mil then unakuwa na ndoto za kushika dola!Some crew missing!
 
ivi cuf iliyo huku bara si ndio ikle iliyopo kwenye sirikali kule znz...so chamamakimoja kitakuwaje na vyeo viwili huku chama tawala na kkule chama pinzani in one country... kweli hawa jamaa hawakufikiria kabisa walikuwa na uchu wa madaraka tu... hivi huyu maalim seif amefanya nini kule znz cha tofauti baada ya kuingia madarakani.... akiseme kwanza thn tutamuamini....asipige kelele tu....:A S 465:
 
Read the story below!
A famous inspirational speaker said:
"Best years of my life were spent in the arms of a woman, who wasn't my wife"
Audience was in shock and silence..
He added: "She was my mother"
A big round of applause & laughter!

A very daring Husbnd tried to crack this at home
After a dinner, he said loudly to his wife in the kitchen:
"Best years of my life were spent in the arms of a woman, who wasn't my wife" Standing for a moment, trying to recall the second line of that speaker

By the time he gained his senses, he was on a hospital bed, recovering from burns of boiling water!
Moral: Don't Copy if u can't Paste!

Mkuu hebu nikumbushe siku ya mapokezi ya Lipumba pale airport Dar, Dr. Slaa alikuwepo kumpokea Prof. Lipumba kwa vishindo inawezekana Dr. Slaa huyohuyo ndiye aliyeratibu ujio wa CUF Arusha; siasa za bongo zimetawaliwa na viini macho. CUF na Chadema wote ni mabingwa wa maandamano sasa sijui mlaumiana kitu gani; CCM ni chama huru tutawakaribisha wapinzani wanaokubaliana na sera zetu za kumuendeleza mtanzania.

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama unaundugu na Paulo Gabriela?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom