Ukifika nje ya geti la Kituo cha Masanga tangu mwezi huu wa 12 ulipoanza utakutana na huu ujumbe ''HAKATWI MTU HAPA'' hiki ni kituo cha kuzuia ukeketaji (TFGM) ambacho kinatoa mafunzo ya ukeketaji mbadala na tohara salama... kwa sasa kuna watoto zaidi ya 600 ambao wamekimbilia hapa ili...
Hii habari nimeiona katika website ya Joyce Kiria , Ni tukio la mwaka sijawahi hata kulifikiria, kwa maelezo zaidi na kujua mengi tembelea .....Talk Show ukaone yaliojiri huko msibani. Dah huyu dada sasa hivi kweli matatizo yamemuandama......
Nini cha kujivunia wanawake watanzania katika nyanja mbalimbali kwa maaana ya kisiasa , kiuchumi, kielimu, kiafya, kiutamaduni na fursa kwa jamii ndani ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania?
Toa upupu wako hapa Hamna sheria yeyote ile Duniani itakayoachwa kuvunjwa kama imekiuka Haki na utu wetu.... Taifa letu ni kwa muda sasa tumekuwa tunaburuzwa hata haki ya maandamano ambayo katiba inaruhusu viongozi wameona ni sumu kwa utawala wao wameamua kuzuia, Sasa wewe unaona kuna sheria ya...
Tuweni wa kweli si kila kitu kushabikia wa kuu ishu ya igunga uliyo iweka hapa ni uongo mkuu. Bavicha hawajafanya jambo lolote igunga, waliyokuwa wanaumia ni viongozi wa chama na siyo mabaraza. Mimi nilikuwepo igunga atokei kijana yeyote yule wa Bavicha akanushe Taarifa hizi.
KAMANDA WA CHADEMA DAR ES SALAAM AFUNGUKA KUHUSU MSWAADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KATIBA KWENYE WALL YAKE YA FB. HUKU ZITTO AKIFUNGUKA TWITTER.
Harakati zozote zile zenye lengo moja la kujenga hufanikiwa, hakuna jambo lolote lile duniania lenye nia mbaya lilowahi kushinda ukweli. dhuluma...
Usipende kuongeav kwa tigo yako unayokalia hiyo, we nawe si umwandalie chai mkeo? Huo ni umalaya wako tu, hata uandaliwe kila kitu unaenda kuchungulia nyuchi za nje shenzi typ.. Huo ndo mfumo dume!! Hujiulizi ni kwanini mwanamke afundishwe yeye namna ya kutunza ndoa? Jukumi ni la mwanamke au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.