BAVICHA mwenyeji mkutano wa kimataifa wa vijana Africa

UVCCM wanawaza tu utokee uchaguzi mwingine wale wali kwenye kampeni na kuweka kambi za kigaidi.
 
Naona classmate Deo ameanza kutisha, tunahitaji vijana kama hawa si wale wanaoota vitambi............. Big up:eyebrows:
 
Watakaohudhuria mkutano ni kina nani na faida ya huu mkutano itakuwa nini kwa ''vijana wa kitanzania''?? Kama utaanza kesho sisi vijana wa Mwanza tutashiriki vipi wakati kwa umachinga wetu hatuna nauli ya ndege ili tufike kwa wakati!!!??
 
All tha best BAVICHA kwenye huo mkutano.tunaamini uwakilishi utakuwa wa ukweli
 
Big up sana BAVICHA,

hakika wananchi wanawatambueni kuwa ni mashine kubwa tangu mara baada ya kazi kubwa mlioifanya kwa mafnikio makubwa sana Igunga na sasa tayari mmekuja na another FIRST!!!

Mendapo hamna wa kutupa sikio pale Magogoni kwenye mkutano wa wakubwa wetu wale, moto mkubwa kote nchini!!!
 
Wadau nipata taarifa kwamba Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA liko kwenye maandalazi kabambe ya kuwakutanisha vijana wenzao kutoka mataifa mbalimbali barani Africa kuanzia kesho ijumaa hadi jumapili jijini Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari muda mfupi uliopita na katibu mkuu wa Baraza hilo zinasema kwamba lengo kubwa la mkutano huo ni kubadilishana uzoefu na ujuzi wa kimkakati na kimbinu katika maswala ya uchaguzi. kampeni zaidi ya Sera za kimaendeleo kwa vijana. Pia taarifa hiyo inaonyesha kuna baadhi ya vyama tawala Barani Afrika kama kile cha Bibi Hllen Johnson Serlief wa Liberia vitawakilishwa na vijana wao.

Nawapongeza sana BAVICHA kwa kujipambanua kimataifa zaidi na pia inaonyesha jinsi gani Chadema kinajiandaa kukamata dola.


Are you serious bro?
 
BAVICHA tafadhali muendelee kutujuza kuhusu yanajiri mkutanoni tafadhali; big up CHADEMA Curbs!!
 
Uvccm pia waalikwe kwenye hicho kikao.

aah wapi, wakifanya ilo kosa la kuwaalika Uvccm utatokea ugonvi pia vurugu za kugombea posho kwani kwa jinsi ninavyo wafahamu watajaza umati wa mashabiki ktk mkutano lengo kuboresha matumbo yao na si kudiscuss issues za maendeleo, Heko bavicha pia CDM kutuonyesha way forward
 
Watakaohudhuria mkutano ni kina nani na faida ya huu mkutano itakuwa nini kwa ''vijana wa kitanzania''?? Kama utaanza kesho sisi vijana wa Mwanza tutashiriki vipi wakati kwa umachinga wetu hatuna nauli ya ndege ili tufike kwa wakati!!!??

No tuwe na imani nao hawa wawakilishi from Bavicha kwani naamini wako makini na watatuwakilisha vyema, let us hope kwani ata mda wa mkutano ndo ushafika
 
Big up sana BAVICHA,

hakika wananchi wanawatambueni kuwa ni mashine kubwa tangu mara baada ya kazi kubwa mlioifanya kwa mafnikio makubwa sana Igunga na sasa tayari mmekuja na another FIRST!!!

Mendapo hamna wa kutupa sikio pale Magogoni kwenye mkutano wa wakubwa wetu wale, moto mkubwa kote nchini!!!

Tuweni wa kweli si kila kitu kushabikia wa kuu ishu ya igunga uliyo iweka hapa ni uongo mkuu. Bavicha hawajafanya jambo lolote igunga, waliyokuwa wanaumia ni viongozi wa chama na siyo mabaraza. Mimi nilikuwepo igunga atokei kijana yeyote yule wa Bavicha akanushe Taarifa hizi.
 
all the best bavicha, natmai hii ni nafasi haba kwenu ya kutuonyesha watanzania umahiri, umakini wenu pia muudhihirishie umma wa watanzania kuwa nyie pekee ndo mwalubaini pia mbadala wa Uvccm na zaidi Kiwanda cha kuzalisha viongozi wa Tanzania ya kesho pia wa kipindi kifupi kijacho, tunawatarajia na tuna imani sana nanyi "Mungu ibariki Bavicha, Mungu ibariki CDM pia Mungu ibariki Tanzania njema isokuwa na mafisadi pia Mungu tokomeza magamba yaloshikwa na ganzi na kushindwa kufanya maamuzi yoyote uko Dodoma" Amen
 
UVCCM yote ipo Dodoma haina mawazo kama ya Bavicha. Big up sana CDM na BAVICHA kwa ujumla

Manyanza the power has changed hand...Bado wako kwenye denial(sp?) period. Hata Daudi alipo kuwa anointed na Samweli Sauli alikuwa hajajua kuwa mfalme mpya wa Israel alishatawazwa na kwamba utawala wake ulikuwa uko karibu kuanguka.
 
UVCCM wanajipanga kuhamia CDM!

Tuna wakaribisha sana CDM, CDM ni chama cha watanzania wote, kuna waisalam, wakristu, ata wapagani umu, kuna wamasai, wahaya, wabalbeigi, masukuma n.k mu manake hiki si chama cha kikabila wala cha kidini, zingatieni kanuni pia katiba ya CDM, karibuni sana tuijenge Tanzania yetu iliyo hoi kwa kufisadiwa, kufilisiwa, kudumazwa, kufukalishwa pia kuibiwa kwa rasilimali zake, leo CCM hawawezi kuwashikisha adabu mafisadi (Magamba) kwani chama (CCM) kimekuwa kikinawilishwa na matunda ya ufisadi, Real freedom is comming is also just around the corner. Munu ibariki Tanzania. amen
 
Manyanza the power has changed hand...Bado wako kwenye denial(sp?) period. Hata Daudi alipo kuwa anointed na Samweli Sauli alikuwa hajajua kuwa mfalme mpya wa Israel alishatawazwa na kwamba utawala wake ulikuwa uko karibu kuanguka.

maneno matamu sana haya natamani UVCMM na Magamba wangeyaona haya wangechukua hatua na kujitafakari lakini watu wenyewe wanaishia FACEBOOK tu, hapa wamepasusa eti ni jukwaa la CDM
 
Kwa ufupi mi nishaanza kupoteza imani kwa kasi na style ya huu uwongozi wa bavicha. Chadema ni vijana kwa sehemu kubwa ila bado sijaona mkakati wowote makini wa hawa kina Heche kutuunganisha vijana tuchukue nchi 2015. Naona kina Heche wamelala tu ka UVCCM..........
 
Back
Top Bottom