Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

mwanamke1

Member
Oct 14, 2011
41
14
KAMANDA WA CHADEMA DAR ES SALAAM AFUNGUKA KUHUSU MSWAADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KATIBA KWENYE WALL YAKE YA FB. HUKU ZITTO AKIFUNGUKA TWITTER.

Harakati zozote zile zenye lengo moja la kujenga hufanikiwa, hakuna jambo lolote lile duniania lenye nia mbaya lilowahi kushinda ukweli. dhuluma, uonevu, majeshi, police, magereza, mabomu ya machozi, risasi za moto, havijawahi kushinda nguvu ya umma.

Tukiungana pamoja tukasonga mbele pamoja watatupiga watatuonea watatuumiza lakini ipo siku ukweli utashinda. Rais usisaini mswaada huwo usiyozingatia matakwa ya wananchi urudishe bungeni urudi kwa wananchi. UKWELI SIKU ZOTE UTAENDELEA KUWA UKWELI NA ukweli utashinda.

www.kilewo.wordpress.com

Hayo ndio maneno Mkuu na kila mmoja wetu yopo bega kwa bega na ukweli huo.Shime wananchi UKWELI HAUFICHIKI UVUNGUNI KAMWE.Naunga hoja.:canada:
 
Kilewo uko sahihi Kamanda wangu! Nami nafsi yangu naunga hoja mkono 100% narudia tena ya kwmb naunga hoja mkono 100% na kama anataka kusain kwa kuwa yeye ni Rais aliyechaguliwa na WANAINCHI hakika nawambia hebu ajaribu atie sahihi yake na bila shaka atajua kilichomnyima kuku kukojoa. Tusubirie Ndg zangu!
 
Kama anaweka sura yake ya everloughing kwenye mambo ya muhimu kwa nchi na kuyachekeachekea tuu kama ush*g* atashangaa kwenye swala hili...Hatichekicheki nae kama masaburi..Oooohooooo ..!!!:spy:
 
"Eee Mwenyezi Mungu tusaidie, utuongoze sawa na mapenzi yako ktk ukombozi huu, utuepushe na hila za kishetani zinazojaribu kupingana nasi kutoka kwa watawala dharimu wa nchi hii.
Tuongoze ktk kweli, tusimamie ktk kupigania haki yetu kutoka kwa wafuasi wa shetani!!"
AMENI
 
Naunga mkono hoja! ila lawama ziwaendee washauri wa Rais hasa mwanasheria mkuu wa serikali maana ndiye aliyetufikisha hapa tulipo!
 
KAMANDA WA CHADEMA DAR ES SALAAM AFUNGUKA KUHUSU MSWAADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KATIBA KWENYE WALL YAKE YA FB. HUKU ZITTO AKIFUNGUKA TWITTER.

Harakati zozote zile zenye lengo moja la kujenga hufanikiwa, hakuna jambo lolote lile duniania lenye nia mbaya lilowahi kushinda ukweli. dhuluma, uonevu, majeshi, police, magereza, mabomu ya machozi, risasi za moto, havijawahi kushinda nguvu ya umma.

Tukiungana pamoja tukasonga mbele pamoja watatupiga watatuonea watatuumiza lakini ipo siku ukweli utashinda. Rais usisaini mswaada huwo usiyozingatia matakwa ya wananchi urudishe bungeni urudi kwa wananchi. UKWELI SIKU ZOTE UTAENDELEA KUWA UKWELI NA ukweli utashinda.

www.kilewo.wordpress.com

Kilewo: sasa utulie Dar es salaam utuongoze kudai haki zetu za msingi, Tunakuamini unaweza kutusaidia kufikisha ujumbe wetu kwa njia ya maandamano kaeni chini mpange mtuambie na sisi tutaungana na nyiye, yaani mikoani wanatushinda hatukubali na sisi tunataka maandamano usipofanya hivyo tutamuomba Dr slaa akulazimishe.
 
Hii imekaa vizuri
 
KAMANDA WA CHADEMA DAR ES SALAAM AFUNGUKA KUHUSU MSWAADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KATIBA KWENYE WALL YAKE YA FB. HUKU ZITTO AKIFUNGUKA TWITTER.

Harakati zozote zile zenye lengo moja la kujenga hufanikiwa, hakuna jambo lolote lile duniania lenye nia mbaya lilowahi kushinda ukweli. dhuluma, uonevu, majeshi, police, magereza, mabomu ya machozi, risasi za moto, havijawahi kushinda nguvu ya umma.

Tukiungana pamoja tukasonga mbele pamoja watatupiga watatuonea watatuumiza lakini ipo siku ukweli utashinda. Rais usisaini mswaada huwo usiyozingatia matakwa ya wananchi urudishe bungeni urudi kwa wananchi. UKWELI SIKU ZOTE UTAENDELEA KUWA UKWELI NA ukweli utashinda.

www.kilewo.wordpress.com

Hivi huyu Kileo ni nani mpaka amtie vishio kwa rais wetu Mpendwa??Mi nasema haya mambo tuyapeleke taratibu ili kuwa na muafaka siyo kila kukicha vitisho jamani Amani tuliyonayo ina gharama kubwa kuliko mnavyofikili
 
Duh!! Ama kweli wewe ni MATOPE!! Napenda sana comment zako!!
 
Hivi huyu Kileo ni nani mpaka amtie vishio kwa rais wetu Mpendwa??Mi nasema haya mambo tuyapeleke taratibu ili kuwa na muafaka siyo kila kukicha vitisho jamani Amani tuliyonayo ina gharama kubwa kuliko mnavyofikili

Ni Mtanzania mwenye akili timamu na anaye amini kupitia Dhana ya ukweli na uwazi uoga kwake ni dhambi kubwa sana kuliko kifo.
 
Hii mimba ishatimiza miezi nane na siku thelathini, tunangoja mtoto azaliwe.

Wataweza kumlea huyo mtoto sasa?
 
Hivi huyu Kileo ni nani mpaka amtie vishio kwa rais wetu Mpendwa??Mi nasema haya mambo tuyapeleke taratibu ili kuwa na muafaka siyo kila kukicha vitisho jamani Amani tuliyonayo ina gharama kubwa kuliko mnavyofikili[
Wewe
 
Naunga mkono hoja! ila lawama ziwaendee washauri wa Rais hasa mwanasheria mkuu wa serikali maana ndiye aliyetufikisha hapa tulipo!

I pray to Almighty God huu Muswada usisainiwe sasa hivi! maana sheria legelege itazaa katiba legelege....Tatizo ni ushauri mbaya wa mwanasheria mkuu wa serikali pamoja na waziri wa katiba na sheria kwa unafiki wao na ushabiki wa chama chao hata taaluma wakaiweka kapuni. Mwanasheria mkuu wa serikali type ya Werema na Waziri Celina Kombani watabeba lawama iwapo muswada huu utasainiwa. Aibu ni kwa Werema ambaye kitaaluma ni mwanasheria tofauti na Celina Kombani ambaye amevishwa gauni la wizara ya katiba na sheria lisilomtosha! Ole wao damu ya watz ikimwagika itakuwa juu yao wao na vizazi vyao!
 
Back
Top Bottom