Recent content by Mwanamke.

  1. Mwanamke.

    Nahisi Simtendei Haki Na Jitihada Zangu Zote!

    That is one big piece of advice!
  2. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Kijana!Sio kila kikombe cha Kunywea chai, vingine ni vya kupigia mswaki! Kama umezoea kuchunwa Usiambukize wengine ngozi ya Ng'ombe!!!
  3. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Tafathali kaka! Masihara weka pembeni! Don't make me report you spam!
  4. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Mimi Ni Mkristo!
  5. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Kingereza cha "Seriously" nahisi kinaeleweka!
  6. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Mie Hoi Kwa Kicheko!!!
  7. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Ha ha ha! Safi, Inapendeza Sana!
  8. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Na ndio maana nikasisitiza Mwenye Sifa hizo na ambaye Yuko Serious Only!! Kwa Sababu Mimi niko very seriously and focused!
  9. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Kweli wewe uko Sawa? Kuna vigezo na masharti ya Kuwa ukijiunga jf inakupasa ukae mda Fulani ili utafute mchumba? Kama huna vigezo hapo juu tulia.! Kuna wenye bahati zao!
  10. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Mh! Mitihani na Mwanamke uliyezaa Nae Sidhani Kama Ntaiweza!
  11. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Lol! Bora umeligundua Hilo!
  12. Mwanamke.

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only! 1; Single 2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe 3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana 4; Umbo la kiume sio bonge wala...
  13. Mwanamke.

    Miezi mi-3 tu nakukinai, What is the problem??!!!!

    kiukweli nakupa pole! hauko mental fit! cha kufanya kama alivyokufahamisha member mwingine hapo juu! the best healing process can be activated only kama if you give yourself time! hiyo itakufanyia mabadiliko makubwa! KAA SINGLE KAMA WATAKA KUPONA FOR A YEAR:flypig:
Back
Top Bottom