Miezi mi-3 tu nakukinai, What is the problem??!!!!

Labda ungefafanua. Maana nahisi hapo ndo kuna tatizo hasaaa.

Yaani naweza kukuona kwa siku kadhaa halafu kadiri siku zinavyosogea nazidi kukuona wa kawaida tu,
Pengine hata naanza kujilaumu why nlitumia efforts sana kukufukuzia
 
Mungu akujaalie upate wa kukunyoosha ww! Tatizo wadada wa siku hizi unafukuzia wiki anaona kafukuziwa. Enzi zetu mtu anakanyagia 2 yrs, ukimuambia 'YES' haamini. Akihesabu gharama anakuwa mpoleee!
 
Umefika mbali mkuu,
Suala sio K, hizi zinapatikana tu even without relationship ndugu yangu.
Mi nazungumzia mahusiano yenye kuendelea. Wapo ambao sikugusa hata K zao but we ended relationship just because after some few weeks I found no any feelings with them!!

wee nae hujatulia kabisa wasema wuala sio K wakati kalou kakwambia kaa single wasema ngumu kukaa bila kugusa. so in actual fact wewe unataka kukataa tuu kuwa K muhimu kwako ingekuwa issue ya mahusiano ya kuendelea sii ungetulia kama waona kuwa huna feelings.
 
Hapo kwenye bold hapo...ndio nilitaka ufafanue...wadada wanaboa nini? miezi mitano wako hivyo hivyo vipi?
Huyo uliyedumu nae kabla hujaanza biashara ya hit and run alikuwa vipi katika suala zima la 'hivyo hivyo' na 'kuboa' ?au yeye alikuwa tofauti?


Kaka,
Hilo nkishalifikiria sana.
But single bila kugusa kabisa?
Otherwise ukiacha matatizo yangu, dada zangu pia mnaboa.
Wewe miezi mitano uko hivyohivyo tu, yaani wewe wa leo ndiyo huyo huyo wa Jana na kesho
!!
 
Sio hiyo tu, unaongeza idadi ya disappointed souls zitakazoku haunt!

Tulia, kaa chini omba Mungu itakusaidia!

What an excellent msg!!! Be blessed. This kind of problem is common to many people. Very few manage to stand out and talk. This I guess will shed light to many out there.
 
Based on your first sentence kwamba una miaka 31 na huna mpango Wa kuoa ndani ya miaka 5 sasa watusimbulia nini? Change your mind set.
 
rudi kwa ex wako,tatizo unamfananisha kila binti na yule uliyemuacha thats it!au pengine alikuumiza sana so unaumiza wengine ili kulipa kisasi bila kujijua!hiyo hali iko ndani yako zaidi wala sio issue ya gals unaodate,WEWE NDO UNA TATIZO!heb jitafit na uangalie kiasi gani u re looking for ur EX in ur new gals?
 
Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.

Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu iliyopita nimekua ni Mzee wa "Hit (Eat) and Run" toka miaka hiyo mpaka sasa.

Nimeshakua Na Wasichana zaidi ya watano toka Mwaka 2010 Na wote kwa sababu moja ama ingine tumeachana. Baadhi ya wadau wangu wananiambia kua inawezekana huyo nlieachana nae kabla ya hao naowapitia sasa kaniloga nisipate mwengine ingawa siamini uchawi.

Nikikaa na Mwanamke akfikisha miezi mitano basi ana Bahati sana, na labda atakua mvumilivu sana. Umri unakwenda na Maisha ndio haya.

Nishachangia sana harusi za Wenzangu, kiasi kwamba sasa nao wanamazimisha kunichangia sasa kwa mtu ambae hayupo.

Ndugu na Dada zangu wameshatambulishwa sana mashemeji na mawifi wapya kila kukicha mpaka sasa naona aibu mbele zao.

"Law of Diminishing Marginal Utility" imenia-affect kiasi cha kwamba kumchoka demu mapema ni jambo dogo tu. Wadada wengi wamebaki na vilio baada ya ndoto zao za kuolewa nami kuishia hewani, naona sana Huruma kwa hili but sijui nifanyaje??

Nimekwama kwa hili, nahisi maisha yangu hayatakua mazuri huko mbeleni. Ninaweza kua Na physchological problem, but sijui hata nilitibuje hili tatizo.

tafuta kitu natural...no make up lakini kinavutia,no marangirangi lakini unamwangalia kila baada ya nusu saa.
achana na masharo-bibi.


natural.jpg
 

Attachments

  • 148934_255544997878034_1409307164_n.jpg
    148934_255544997878034_1409307164_n.jpg
    52.8 KB · Views: 46
Tatizo lako ni kwamba unaingia kwenye mahusiano ili kukidhi tamaa zako za mwili na sio kwa sababu ya mapenzi, toka uachane na huyo girlfriend wako hiyo 3yrs ago hujawahi kupenda tena ila unatamani kila siku! Warembo wapo wa kila aina bado wengine wanazaliwa huwezi kushindana nao itakucost! Give yourself a break one day utapata wa kumpenda na sio kutamani, goodluck!
 
Unaujua mtandao wa wapenzi wewe? Hamna kulogwa wala nin hapo UMEUNDEKEZA UHUNI TU HILO NDO LINAKUSUMBUA
 
Nakuonea huruma sana kaka unavyochezea maisha kwakubadilisha wasichana kama Dala dala,huna tatizo kubwa ila unajiendekeza, Ivi uoni aibu kuwavulia boxer wanawake wote hao? na inaonyesha unazidi kueledelea,ukubwa sio miaka
kua na miaka mingi, tuliza akili yako na jipende au niseme penda afya yako......
 
Tatizo lako ni kwamba unaingia kwenye mahusiano ili kukidhi tamaa zako za mwili na sio kwa sababu ya mapenzi, toka uachane na huyo girlfriend wako hiyo 3yrs ago hujawahi kupenda tena ila unatamani kila siku! Warembo wapo wa kila aina bado wengine wanazaliwa huwezi kushindana nao itakucost! Give yourself a break one day utapata wa kumpenda na sio kutamani, goodluck!

Well said my dia..
Huyu bwana anaonekana anapenda sana ngono..just to say the truth..
Ni kweli kabisa kama unampenda binti just for ngono lazima "Law of Diminishing Marginal Utility" ita'apply' tu..
Jipe likizo ya ngono bwana hata mwaka mzima..
 
rudi kwa ex wako,tatizo unamfananisha kila binti na yule uliyemuacha thats it!au pengine alikuumiza sana so unaumiza wengine ili kulipa kisasi bila kujijua!hiyo hali iko ndani yako zaidi wala sio issue ya gals unaodate,WEWE NDO UNA TATIZO!heb jitafit na uangalie kiasi gani u re looking for ur EX in ur new gals?

Hili ndio jibu, inaonekana huyu jamaa alimfia sana huyo EX wake, labda angetuambia waliachana kwa sababu gani, je hawawezi kurudiana ? mnake anaumiza dada zetu bure...
 
Kaka huo ugonjwa wanao wanaume wengi sana japokuwa hawatak kukubali nikiwemo na mimi lakin may be utoto unanisumbua as only 25
 
Inawezekana msichana uliyeachana nae mara ya 1 ulimpenda kiukwel na ulikuwa na malengo ya ukwel juu yake lakini yeye akakusaliti na kukuumiza sana moyo wako ,hilo ndio tatizo lililosababisha uone wote ni walewale na ni bora kuwabutua na kuweka pembeni kuliko kupenda tena. mm nakushauri tafuta msichana ambaye yupo tayari kuolewa na umuoe nikiamin atakuheshimu kama mumewe, sio kutafuta wachumba ambao pengine washaumizwa walikotoka na kuuza nao sura kwani watataka kulipiza kisasi kwako.
 
kiukweli nakupa pole! hauko mental fit! cha kufanya kama alivyokufahamisha member mwingine hapo juu! the best healing process can be activated only kama if you give yourself time! hiyo itakufanyia mabadiliko makubwa! KAA SINGLE KAMA WATAKA KUPONA FOR A YEAR:flypig:
 
Back
Top Bottom