Recent content by mwanambwa

  1. mwanambwa

    Mwl mwenzangu anataka mume

    Mimi niko tayari kwa hilo lakini siko tayari kuishi Mbeya mimi niko Zanzibar vipi ataridhika kwa hilo?
  2. mwanambwa

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Tatizo hilo analo tokea alipozaliwa au lili mkuta baada ya hapo. Kama hakuzaliwa nali hilo tatizo nitafute.
  3. mwanambwa

    Mwanaume wa kuzaa nae!

    Panda boti uje Zanzabar sifa zote ninazo hizo.
  4. mwanambwa

    Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Sio wazungu wanaotowa harufu wala sio wanawake wote ambao hutowa harufu. Kunabaadhi ya wanawake wakienda kujisaidia haja ndogo hawajisafishi kwa maji wanainama wanaondoka hvyo hiyo bila kufanya huo usafi,sasa hapo wewe utegeme harufu tu. Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
  5. mwanambwa

    Mama aolewa na mwanaye baada ya kumpa ujauzito

    Kiama tayari bado siku na saa kufika tu.
  6. mwanambwa

    Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

    Kuna teacher wetu moja jina nalihifadhi alikutana na jini akamtongoza,jini bila kutafuna maneno akamkubalia,kufika hiyo sehemu ili abanjuwe kumuangalia chini anamiguu ya punda teacher alizimia na alipo ziduka ni chiziiii, baada ya hapo alipelekwa kwa mganga jini akaja kichawani akasema namtia...
  7. mwanambwa

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Na wewe hanithi au vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwanambwa

    Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Mwambie mumewako wewe si unajiona mrembo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwanambwa

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Kamanda hichi unachoweka si kitanzi hichi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwanambwa

    Hongera ITV kwa kuitosa habari ya Zuio la Bomoabomoa

    Wanazuia nini wakati kazi imemaliza si wamesha bomolewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwanambwa

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Nikikupatia mbegu ya chotara utanilipa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwanambwa

    Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

    Kumbe ulikuwa muislamu,hukuwa muumini wa dini ya kislamu,karne hii waislam wengi sana wauumini wa dini ya kiislamu wachacahe. Muumini wa dini ya kiislamu habadili dini yake lakini muislamu hubadili dini yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwanambwa

    Mume anahitaji!

    Uko wapi nikufuwate bibie? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mwanambwa

    Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

    Mkuu kumbe yako isiwashwe daima,mm ya kwangu hata kama hukuwasha nakukamata tuuuuu. Pole sana kwa kwa hilo lililokufika. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mwanambwa

    Prof. Lipumba augeuzia msumeno kwa wabunge wa majimbo CUF

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom