Ni sahihi ,kipindi bodaboda zinaanza kuwa nyingi nilikuwa naishi Bukoba,na wasanii wa bukoba na Uganda walikuwa wanaimba nyimbo za kuusifu huu usafiri,ndipo baadae biashara hii ikaenea kwa kiasi kikubwa sehemu nyingine za tz
Uzi hauwezi kuishia hapa ,kisa umetumia gharama zako na nguvu zako ndo uamue chochote kwa Mali yako?kweli Mali ni yako lakini Huna uhuru wa kuitumia vyovyote utakavyo huku ukiminya uhuru ama haki ya mwenzako.
Headline lazima iwe na mvuto,ili mtu ahamasike kuifungua habari kiundani, hiyo ni mbinu ya kiuandishi hajapotosha,atakuwa amepotosha kama content itakuwa inaendana na headline,kiongozi.
Huyu Lisu,ni binadamu mwenye IQ ya kipekee kabisa,na Mkono wa Mungu upo juu yake,kuna kazi maalumu alipewa na Mungu kulisemea taifa bila woga wowote.Binafsi 2025 asimame na ipeperushe bendera kwenye mbio za uraisi tena.2020 japo kwenye karatasi ya kupigiwa kura aliwekwa mwishoni yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.