Recent content by mwanalumango

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amewezaje kuwa Rais wa chama cha mawakili Tanganyika?

    Nimekuelewa vizuri tu mkuu. Ila nina swali la ziada, Pamoja na kuwa Mzanzibari ni Mtanzania lakini kikatiba haruhusiwi kugombea nyazfa ya kisiasa bara isipokuwa pale atakapothibitishwa bila shaka kuwa makazi yake ya kudumu yapo Bara. Nadhini juzi lilijitokeza hili kuhusu Mr Salum wa CHADEMA kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amewezaje kuwa Rais wa chama cha mawakili Tanganyika?

    Anahoja iliyojificha na kuchanganya watu. TLS kama neno lake la kwanza (Tanganyika) inabeba utanganyika zaidi kuliko utanzania. Hivyo, anachotaka umfafanulie haya: 1. Is the TLS' jurisdiction covers the entire United Republic of Tanzania or it is only for Tanganyika? 2. If the answer falls...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Professa Mussa Juma Assad

    Ni Mchamungu pia, haongopi anaitafuta pepo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwani lazima mvae hizi chupi?

    Kwanini msivae boxer jamani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujiulize baada ya kuruka kule na kule kuna utofauti wa ladha kwa wanawake?

    Sisi wote si malaika tunafanya makosa. Ila tofauti ya sisi na wanyama ni kuwa sisi tumepewa akili tunayoweza kuitumia ku reflect kwenye kila tunachofanya katika maisha yetu kuwa ni sahihi au laa. Kama binadamu inabidi sometimes ukae chini peke yako kisha ujiulize kila unalolifanya kama kweli...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujiulize baada ya kuruka kule na kule kuna utofauti wa ladha kwa wanawake?

    Ili uweze kuongoza nyumba wewe unatakiwa uwe na sauti na msimamo zaidi juu ya nyumba. Nyumba yeyote ambayo mwanaume anayumba kamwe haina amani. Wewe na mkeo hata kama mnapendana vipi still hamuwezi kuishi kama malaika bila kugombana so always elewa kuwa kuna kipindi hamtaelewana unachopaswa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujiulize baada ya kuruka kule na kule kuna utofauti wa ladha kwa wanawake?

    Juu ya yote tumekuwa tukipoteza muda mwingi na wakati mwingine kuutesa moyo wako kumpenda mtu asiye wako ambayo siku moja iwe isiwe utaachana naye tu. Tujiulize mara ngapi kwakupenda nje tumepunguza upendo ndani na mbaya zaidi tumekuwa tukiwaumiza sana masikini wake zetu ambao wamekuwa kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

    Labda huyo wako!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

    Tuombe radhi, sisi tunawake tunalala nao usiku kucha na kufanza utatuambiaje tunakwenda ofisini bila kuoga. Tutaendaje ofisini na janaba, tafadhali mama!!! adhi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi wala taasisi (hata UN) inayoweza kumzuia US akiamua chochote?

    Hakuna kitu kingine ni fedha tu kaka inayoleta Kiburi? Hata katika ngazi ya familia kama mpunga umekutembe lea na hata kama umri wako ni mdogo kikao cha familia lazima kiahirishwe au kicheleweshwe kukusubiri wewe. Nguvu zake zitapungua tu kama atapororomoka kiuchumi na hiyo sio leo wla kesho...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa hii Marubani wameniongezea sababu ya kuhofia zaidi maisha yangu kwenye ndege angani

    Naweza kukubaliana na huo utafiti. Safari nyingine ni ndefu sana. Imagine unasafiri kati ya Dubai na New York for 14 hrs, unalala unaamka unakunywa unakula unalala unawatch move unafanya mazoezi muda bado hauendi. Unategemea pilot na co-pilot wasisinzie? Mbaya zaidi hata kama unasafiri mara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa hii Marubani wameniongezea sababu ya kuhofia zaidi maisha yangu kwenye ndege angani

    Kwa technologia ya sasa hivi si kitu kigumu kabisa ndio maana kama wenyewe walivyokiri kuwa huwa wanasinzia na mbaya zaidi huwa hawajui wamesinzia kwa muda gani lakini wanakuta chombo kipo on track. Kuna kifaa kinaitwa auto-piloting ukitegeshea hicho ngoma ina cruise tu.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Kenya kuanza kuwa na kampuni binafsi za umeme, mwsho wa ukiritimba wa KPLC

    Wakenya wanatakiwa waelewe kuwa sula la UMEME ni sula na National Security. Huwezi hand-over kazi hiyo yote to the private company. Ukisoma vile hapo juu wanasema private companies zinasambaza umeme kwa households and small commercial establishments, nothing about rural areas. Given the nature...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unamfanyaje huyu mume anayehitaji faraja baada ya mchepuko wake kufariki dunia?

    Mkapime ukimwi kwanza mara kadhaa kwa interval ya miezi mitatu simamisha penzi hadi uhakikishe afya zenu ni nzuri kama ataomba msamaha kikwelikweli kwakukueleza ukweli what was unfolding all the time from day one of their relationship until death na akaahidi kuachana tena na mambo hayo basi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SGR Construction in Tanzania - UPDATES

    Acha ujinga huo, it happens everywhere even KQ is worse. I am a frequent flier of KQ. I have extremely bad experience with your air line. Last week nilisafiri na KQ351 Juba-Nairobi. Toilet zilikuwa zimefungwa kwakuwa ni mbovu, can you imagine the toilets are not functioning for a flight of 1:30...
Back
Top Bottom