Recent content by mwanakidagu

  1. M

    GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    lisu hakuwahi kurudia mtihani kama lameki kidevu...,hapo ndipo nitapiga kura yangu kwa mara ya kwanza.
  2. M

    Hakuna cha Lowassa wala Membe, mwakani rais ni kutoka UKAWA

    yep yep, na tutaandaa kijiji cha mafisadi,na vijana wajiunge jeshi la magereza kuwatumikisha kivitendo kwa sera zao waliozi asisi.na yule mpiga debe wa kilimo kwanza lazima atumie jembe la mkono kuonyesha mfano ali maanisha nini kutuambia kilimo kwanza ,
  3. M

    ukame wa elimu kwa shule za serikali TANZANIA umesababishwa na sera mbovu za CCM.

    SHULE ZA SERIKALI VS ZILE ZA SAINTS NA BINAFSI Ni ukweli usiopingika kwamba ukame uliopo shule za serikali umesababishwa ki maksudi na serikali ya ccm kushindwa kwa sera za elimu nchini Tanzania.mtoto wa shule ya awali tu kwa sasa ni kati ya sh.1,6000,000.00 kwa mwaka,hivyo wenye vipato wanamudu...
  4. M

    Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Mwanasiasa imara,hutuliza mambo yanapoenda mrama,hasa pale hisia za watu zinapoambatana na mtu badala ya CHAMA,kama hivi sasa inavyojionesha ya kuwa Mh. ZITTO,kuwa ana watu wake wanao mwamini sana kuwa ndio shujaa wao.nakushauri kijana mwenzangu ZZK,watulize hao wafuasi wako,waambie mimi si...
  5. M

    Heko Dr.Slaa,kwa utambulisho wako,mabeberu wameshangazwa na uwezo wako wa kujieleza

    huu ndio utambulisho wa Raisi ajaye 2015,karibu mpendwa wetu.tutakupa kura.tena kama tulivyo fanya.
  6. M

    Mwigulu Nchemba Mwanasiasa Bora Kijana wa Kizazi cha Sasa

    Mungu amrehemu huyu mwigulu kwa kuya geuza maandiko ya Mungu kuwa ilani ya chama kiovu cha ccm.Je kale ka habari ka igunga umekasahau ka ku........ wake za watu
  7. M

    Tanganyika iliyozikwa i mbioni kufufuliwa,kwa kuwa watanganyika ni wengi kuliko CCM

    Ni wakati pekee na mwanya adhibu uliotoka kwa mola,kutufumbua macho WATANGANYIKA kwamba taifa lao lililozikwa mika 50 hivi iliyopita laweza kufufuka kupitia katiba mpya ya Jaji J.S.Warioba. TANGANYIKA YENYE NEEMA NA RASILIMALI TELE,inapumua sasa,kwa kuwa watanganyika ni wengi kuliko wana CCM...
  8. M

    Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

    hapo bolded italic,iwasiliane sasa,jinsi ya kujua wataondokaje na kupokelewa vipi ,je walipoingia ninyi wanyarwanda mliwasiliana na Tanzania jinsi ya kuondoka rwanda na vile wangepokelewa hapa tanzania?/wote wanaoishi iligally they must go!!!!!!!!!
  9. M

    Kisiwani mafia,chadema pelekeni elimu ya uraia hasa m4c.

    kisiwani mafia kuna vyama vikuu vifuatavyo.ccm imetamalaki kwa asilimia 80,cuf asilimia 4 na CHADEMA asilimia 1.najua utaniuliza utafiti huu nimeufanya kwa kutumia kigezo gani,hilo ni rahisi,kuna bendera moja tu ya chadema kisiwani mafia,na utitiri wa mabendera ya ccm,kibendera cha cdm kina...
  10. M

    M23 wamtaja Nyerere kama fahari yao

    wewe nawe ratifa baranyikwa ni wa huko huko mo wengi ,
  11. M

    Kibaha Mjini: Mh. Koka awafunda bodaboda kutojihusisha na maandamano

    MH. KOKA,Mbunge wa jimbo la kibaha Mjini ,amefanya kikao na waendesha pikipiki ali maarufu bodaboda jana. Koka akiongozana na uongozi wa juu wa wilaya,akiwa na mkuu wa wilaya bi .Halima Kihemba-,na bi .Tatu, Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mjini kwa nafasi zao waliwafunda...
  12. M

    Kikwete akae na Kagame wazungumze wayamalize...

    dharau za wanyarwanda,dhidi ya kiongozi wetu.wajinga hawakumbuki mzigo wa wakimbizi na uvunjivu wa sheria za nchi zilizotokana na wakimbizi hao toka rwanda.huku wakiharibu uoto wa asili na viumbe hai walioishi kwenye mapori ya nyakanazi ,mtabira,makere na eneo zima la uvinza.mkoani kigoma.NAUNGA...
  13. M

    Kifo cha CCM kimetimia

    Huwezi kuweka kiraka kipya kwenye vazi kuukuu,ccm kwa sasa imechoka,haitaweza kutuvusha 2015,ipumzike wengine wachukue hatamu.hata haiwezi kukusanya kodi.chini ya ccm wazungu hata kama hawana mitaji hupewa nafasi ya kufyonza uchumi wetu,tazama wasivyoweza kukusanya kodi migodini.nchi tayari...
  14. M

    Hapa Sijamuelewa Lukuvi

    ng'wanangwa,kama utakumbuka huyu jamaa lukuvi alitajwa na kaneirugaba msemakweli kama FISADI WA ELIMU.AKIJIITA MTU ALIYEBOBEA KWENYE SIASA ZA KIDIPLOMACY ZA KINATAIFA,WAKATI YEYE NI MWALIMU WA UPE,PALE TABORA, NA ALIWAHI KWENDA URUSI KWA MIEZI MICHACHE KWA AJILI YA MAMBO YA SIASA ,NA KUHUDHURIA...
Back
Top Bottom