Recent content by MWANAKASULU

  1. MWANAKASULU

    DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Mungu Wa Mbinguni.. alimjua Lissu kabla hajazaliwa. Malaika mbinguni wanalo jukumu la kumlinda Hadi hapo kusudi la Mungu litakapotimia.
  2. MWANAKASULU

    PreGE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Dah aiseee.... Ripoti ya CAG itaendelea Kuja kama inavyokujaga kila mwaka... Vinginevyo walio karibu nae wamshauri abadili approach kuliokoa Taifa Hili..
  3. MWANAKASULU

    Kwanini Miamba ya Kiarabu Saddam Hussein, Osama bin Laden na sasa Ebrahim Raisi wamekufa kama hawana Ulinzi?!

    Taifa la Israeli mbali na kuwa ni Taifa teule la Mungu lakini . Ni Taifa ambalo tangu zamani lilijiandaaa kushinda vita na ndio maana likawekeza ktk Elimu... Dunia hii Bila Elimu haiwezi kusonga hivyo.. hata Marekani anamtumia Mu-Israel ktk Tekinolojia... So hao Waarabu wakubali kwamba...
  4. MWANAKASULU

    Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

    Sio chuo cha Walimu Butimba huyo boda boda wako mwambie akupeleke Bunda IL uje na taarifa kamili. Tukio Hilo limetokea majuzi linahusisha wanachuo wa Bunda TC. Sio Butimba.
  5. MWANAKASULU

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    Bado mapema. Ila muda ni zaidi ya professor. Ngoja tusubirie muda utaamuaje.
  6. MWANAKASULU

    BRELA ni jipu kwa kweli au ninyi mnaonaje?

    Uko sahihi mkuu kama wasomajibwapo humu walifanyie kazi. Hata kusajili Kampuni ni tizi ni Mara mia turudi tulikotoka ili wapate muda wa kujipanga na tekinolojia ambayo kwakweli ilikuwa nzuri ila changamoto zimekuwa kubwa kuliko ufanisi
  7. MWANAKASULU

    Kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down?

    Pole saana mleta Uzi. Bahati mbaya Watu wanajadili Picha badala ya tatizo. Ww uliyekimbiwa na Mme kaa chini na utulie mlilie Mungu atakuonesha njia. Na huyo Mwanamme IPO Sikh atakutafuta kwa style nyingine. Pole sanaaaa. Ila jipe Moyo. Na Mungu ni Mwema
  8. MWANAKASULU

    RC Simiyu, Anthony Mtaka: Sitoruhusu ‘Police Economy’ kwenye uongozi wangu

    Kwakweli. RC Mtaka ni Visionary Master na huwa sio mtanguliza usiasa saaaaana. Ni mtu wa vitendo sio porojo.
  9. MWANAKASULU

    Uvinza, Kigoma: Waziri Kangi Lugola ataka dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili

    Ni kauli yenye matumaini kwakweli. Ila nashauri aiweke kwenye maandishi awapelekeee marpc na Ocd pia wananchi wapate hiyo barua kupitia website ya wizara
  10. MWANAKASULU

    Tukio la Bobi Wine vs Tundu Lissu: Uganda wana taasisi imara huku Tanzania unafiki na Serikali kumezwa na chama

    Katiba katiba katiba. Katiba ikiwa na Nguvu kila MWENYE MTU atakuwa na nguvu stahiki mbele za Sheria.
  11. MWANAKASULU

    Kuwa makini na maneno unayosema ukiwa chini ya ulinzi, ni ushahidi tosha dhidi yako

    Somo zuri.saana. ila utekelezaji wake inahitajika mkono wa Mungu usimame juu yako.
  12. MWANAKASULU

    Msimamo wa Joyce Kiria baada ya kushauriwa amwambie mumewe aachane na siasa

    Mambo ya ndoa magumu sana. Ila akikumbuka alivyoapa na jinsi ilivyo Leo atapiga magoti na kutubu. Tuwaombee.
  13. MWANAKASULU

    Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    Andiko lako limefumbua macho.
Back
Top Bottom